Hizi fitina hazitakusaidia wewe Wala mwingine. Natarajia umeona kilichotokea. Ila pia hili tukio limekuja kuweka wazi uongo munaousambaza humu mitandaoni kwamba Wabara hawaajiriwi Zanzibar. Subira yavuta kheri. Sasa tumeona na Kila mtu ameona na kutambua uongo na uzushi wenu.