rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 16,784
- 23,312
Ila tuache utani Djuma Shaban angesajiliwa Simba SC, ingekuwa moto zaidi ya ilivyo sasa. Ukiacha majeruhi jamaa anajua.Wadanganye ( Wapuuzi ) wenzako Yanga SC kuhusu hili na najua wengi wao walivyo ' Oya Oya ' hapa watakuamini kweli kweli tu.
Simba SC ni Klabu inayoendeshwa Kitaalam ( Kisomi ) na pia ina Idara yake nzuri sana ya ' Kijasusi ' ambayo huwa inafanya Tathmini ya Kina kwa Mchezaji imtakaye.
Ni kweli Mchezaji huyu alikuwa katika ' Rada ' za Simba SC na Pesa kubwa tu ya Kumsajili ilishatengwa ila baada ya ' Ujasusi ' kwa Kitaalamu ( hasa wa Kidaktari ) Simba SC iliyoufanya kwa Kushirikiana na ' Waandamizi ' wa Klabu yake huyu Mchezaji imegundulika kuwa ni hayuko 100% vyema Kiafya ( Proin Injury ) na kwamba atakuja Kuigharimu Timu ( Simba SC ) kwa Kumtibu zaidi na Kuingia Hasara vile vile.
Najua kuwa Kiungo wenu Tonombe Mukoko ndiyo amefanikisha hasa kwa Kumshawishi huyu Mchezaji atue Yanga SC ila Yanga SC mnadhani kuwa mmelamba Dume kwa Kuwazidi Simba SC huku mkisahau kuwa huyo Mchezaji hayuko ' that Fit ' kwa Kucheza Mpira mara kwa mara.
Kuhusu Pesa uliyoitaja hapa ni Uwongo mtupu ( tena wa 100% ) kwani Ukweli ni kwamba Yanga SC mmetanguliza Tsh Milioni 350 tu na zingine Tsh Milioni 150 zake mtakuja Kummalizia huku Tanzania baada ya Kuuza uza Magodoro yenu yanayoumiza Migongo.
Namalizia kwa Kuwaambia Yanga SC kuwa Simba SC haisajili bali ' inajazilia ' na kuna ' Bunduki ' Tatu tu za Kigeni zinakuja nafasi ya Beki wa Kati ili acheze Pacha na Onyango huku Wawa akiwa sasa anasaidiana na Kapombe Shavu la Kulia na ' Duchu ' akiendelea Kuchota Uzoefu Kwao.
Pia kuna ' attacking Midfielder ' mmoja kutoka Misri au Congo DR anakuja na tunamalizia na Mshambuliaji ' Talisman ' kabisa kutoka Morocco au Tunisia au Uganda au Afrika Kusini.
Anachokifanya sasa Injinia Hersi Said na GSM yake Watoto wa Mjini akina GENTAMYCINE tunakiita ' anawapiga Ganzi ' kwani anajua kuwa Mmeshaukosa Ubingwa ambao aliwaahidi huku akiapia kuwa msipouchukua Mumuulize Yeye hivyo sasa ' anawazuga ' kwa Kusajili Wachezaji wanaosifika ili msahau ' Kumuhoji ' na ' Kumshambulia ' katika Mkutano wenu Mkuu ujao na aendelee kuwepo sana tu Yanga SC huku Yeye na GSM yake ' Wakijitajirisha ' na Timu yenu ikizidi tu ' Kutaabika ' Kimapato ( Kiuchumi )
Ndiyo maana Yanga SC mnaambiwa hamna Akili kwani ni Watu tu wa Kudanganywa kama Watoto Wadogo halafu ni wepesi mno Kuridhika na Kusahau. Najivunia sana kuwa Shabiki wa Simba SC kwani ni Timu ya Watu Werevu, Wasomi, Makini na Wastaarabu tupu.
Mwaka jana tarehe kama hizi mlikuwa mnayaimba magalasa yenu tena mlikuwa mkienda airport kuyabeba sasa hivi mnajifanya kusahau kuwa sio nyie na media zenu zilizojaa takataka.
Simba hawasajili kwa mihemko bali wanasajili kutokana na mapungufu ya timu huku tukiangalia zile timu 12 zilizo juu yetu tufanyeje angalau tuwepo tano bora mwakani ndio maana umeona tupo kimya ila nini kinaendelea dalili utaziona tarehe 3 July.
Kalinyo kimemkimbiza nini?Tangu mwaka 1935 hapakuwahi kutokea nhezaji akafa akiwa na Uzi wa Jangwani.
Tuwaulize nyinyi Mafisango alikufa kwa sababu gani..?
Yaani mnasajili jitu zeee halafu mnajisifiaπ€π€
Duh poa tusubiriWadanganye ( Wapuuzi ) wenzako Yanga SC kuhusu hili na najua wengi wao walivyo ' Oya Oya ' hapa watakuamini kweli kweli tu.
Simba SC ni Klabu inayoendeshwa Kitaalam ( Kisomi ) na pia ina Idara yake nzuri sana ya ' Kijasusi ' ambayo huwa inafanya Tathmini ya Kina kwa Mchezaji imtakaye.
Ni kweli Mchezaji huyu alikuwa katika ' Rada ' za Simba SC na Pesa kubwa tu ya Kumsajili ilishatengwa ila baada ya ' Ujasusi ' kwa Kitaalamu ( hasa wa Kidaktari ) Simba SC iliyoufanya kwa Kushirikiana na ' Waandamizi ' wa Klabu yake huyu Mchezaji imegundulika kuwa ni hayuko 100% vyema Kiafya ( Proin Injury ) na kwamba atakuja Kuigharimu Timu ( Simba SC ) kwa Kumtibu zaidi na Kuingia Hasara vile vile.
Najua kuwa Kiungo wenu Tonombe Mukoko ndiyo amefanikisha hasa kwa Kumshawishi huyu Mchezaji atue Yanga SC ila Yanga SC mnadhani kuwa mmelamba Dume kwa Kuwazidi Simba SC huku mkisahau kuwa huyo Mchezaji hayuko ' that Fit ' kwa Kucheza Mpira mara kwa mara.
Kuhusu Pesa uliyoitaja hapa ni Uwongo mtupu ( tena wa 100% ) kwani Ukweli ni kwamba Yanga SC mmetanguliza Tsh Milioni 350 tu na zingine Tsh Milioni 150 zake mtakuja Kummalizia huku Tanzania baada ya Kuuza uza Magodoro yenu yanayoumiza Migongo.
Namalizia kwa Kuwaambia Yanga SC kuwa Simba SC haisajili bali ' inajazilia ' na kuna ' Bunduki ' Tatu tu za Kigeni zinakuja nafasi ya Beki wa Kati ili acheze Pacha na Onyango huku Wawa akiwa sasa anasaidiana na Kapombe Shavu la Kulia na ' Duchu ' akiendelea Kuchota Uzoefu Kwao.
Pia kuna ' attacking Midfielder ' mmoja kutoka Misri au Congo DR anakuja na tunamalizia na Mshambuliaji ' Talisman ' kabisa kutoka Morocco au Tunisia au Uganda au Afrika Kusini.
Anachokifanya sasa Injinia Hersi Said na GSM yake Watoto wa Mjini akina GENTAMYCINE tunakiita ' anawapiga Ganzi ' kwani anajua kuwa Mmeshaukosa Ubingwa ambao aliwaahidi huku akiapia kuwa msipouchukua Mumuulize Yeye hivyo sasa ' anawazuga ' kwa Kusajili Wachezaji wanaosifika ili msahau ' Kumuhoji ' na ' Kumshambulia ' katika Mkutano wenu Mkuu ujao na aendelee kuwepo sana tu Yanga SC huku Yeye na GSM yake ' Wakijitajirisha ' na Timu yenu ikizidi tu ' Kutaabika ' Kimapato ( Kiuchumi )
Ndiyo maana Yanga SC mnaambiwa hamna Akili kwani ni Watu tu wa Kudanganywa kama Watoto Wadogo halafu ni wepesi mno Kuridhika na Kusahau. Najivunia sana kuwa Shabiki wa Simba SC kwani ni Timu ya Watu Werevu, Wasomi, Makini na Wastaarabu tupu.
Hawa waliopo wanashindia mihogo halafu mtoe bilioni moja na ushee kusajili mchezaji mmoja? hii ni akili, matope au mataputapu.
kapombe yupogo Simba shida ni kwa uzee wake hadi aje kuzoea style yenu ya butuabutua mtashangaa
pamoja na mapungufu tumefika robo fainali lakini nyie mmeishia kukimbia mechi hivi hauoni tofauti?Ni kweli usajili wa Niyonzima na Gadiel ulikuwa ni usajili wa mapungufu si ndio?
Hata Junior Lokosa usajili wake ulikuwa kutokana na mapungufu.
usisahau Chikwende pia, alisajiliwa kulingana na Mapungufu.
Na mwisho Peter Mudua pia alisajiliwa kulingana na mapungufu.
pamoja na mapungufu tumefika robo fainali lakini nyie mmeishia kukimbia mechi hivi hauoni tofauti?
Kisinda anakimbia hadi anaacha mpira, mshaurini ajiunge na Riadha sio mpiraπππππDjuma atakiwi kuzoea ushaona mchezaji anatoka Linafoot anakuja Bongo kuzoea zoea.
Au umesha wasahau wakina Mukoko teacher, na speed master Kisinda.
Baada ya kumkosa amekua free agent,while jana tu msemaji alisema ana hiyo πAlikuwa free huyo ndugu
Unamuamin HAJI usichokijua n sawa na usiku wa giza mkuu