Rasmi: Yanga yavunja Mkataba na Gamondi

Rasmi: Yanga yavunja Mkataba na Gamondi

Tangu ligi ianze tunaperfom chini ya kiwango.
Mimi binafsi naona ni maamuzi sahihi kuinusuru timu.
Wajinga hawatokuelewa hapa mkuu ila umemaliza vyema sana, ni vile timu ilikuwa inashinda ila kiwango kilikuwa kibovu mnoo.
Niliona uduwanzi zaidi kibwana ambaye ni beki asilimia ameketi benchi alafu anachezeshwa nkane kama beki no 2 ilikuwa ulumbavu zaidi ule sijawahi ona.

Hallelujah!!!
 
Wote Mnaukwepa Ukweli, GSM Kashaanza Kuishiwa.

Mshahara Wa Gamondi Kashindwa,mkitaka Gamondi aendelee Jikusanyeni mumlipe Salary.

Yanga Imefungiwa na FIFA kusajili Kwa Kuwa Wameshindwa kumlipa Okra Magic..!

Wakati GSM anakata Moto.....!

Mo Dewji anazidi kumwaga mihela ya Kusajili kama njugu, WanaLunyasi Wanampango Kuandamana kushinikiza asimame Kufanya usajili Mwingine
Hili sio tatizo, Yanga ya bakul ilishawahi kukupiga wewe
 
Watu mnakimbilia kulaumu engineer Hersi, mnashindwa kujiuliza haya machache,,

1: Baada ya kufungwa na Tabora , Gamondi alionekana mazoezini tena na kikosi Cha Yanga. Kama issue ni matokeo ya Tabora, mediately He was supposed to be sacked!

2: Ni uongozi gani wa club, unaweza kumfukuza kocha mwenye rekodi ya aina ya Gamondi, kwa kupoteza mechi mbili tu tena mwanzoni tu mwa league?

Moja ya maamuzi Bora waliyowahi kufanya viongozi wa Yanga ni hili la kumpiga chini Gamondi, why?
1: Gamondi jeuri, hashauriki, hasira, mgomvi haswa, haongozwi...yaani yeye ni over all authority, unaweza kuamini mwaliko ule wa kaizer chief, Gamondi alikataa kupeleka timu ni uongozi tu ilibidi u force
2: Performance ya timu. Yanga imesajili vzur ila Kila siku performance ilikuwa inashuka, Displine mbovu ya wachezaji.....kocha gani anaenda night club na wachezaji
3: Kukosa maelewano na baadhi ya wachezaji, technical bench, na hata uongozi wa juu. Gamondi aliamini ni wachezaji flani ndio wanaweza kumpa matokeo na wengine si lolote, of which He was totally wrong!
4: Gamondi hakutaka kuwa just a Couch, yeye binafsi alikuwa analazimisha kujipa u manager wakati kwa timu zetu za Yanga na Simba hilo halipo... Go go go Gamond
 
Nilikua namuona injinia kama mtu smart kumbe nae ni wale wale tu (wapumbavu)

Kundi la wapumbavu ni kubwa

Mechi mbili unafukuza kocha? Unataka usifungwe mechi yoyote wewe ni nani?

Kocha ana takwimu nzuri unamfukuza kwa ushabiki wa kijinga

Pumbavu
Sio Yangu tu mzee. Timu kubwa zote zina ujiNga wa aina hii mkuu. Nadhani labda TFF waweke kanuni ya kuzuia kocha kufukuzwa kazi kabla ya kumaliza walau miaka 2 kwenye utumishi wake.
 
Mkuu naomba unitumie Link ya hiyo ngoma niipakue mazima.
Umenikumbusha kitu.
 
Mkuu naomba unitumie Link ya hiyo ngoma niipakue mazima.
Umenikumbusha kitu.
 
Watu mnakimbilia kulaumu engineer Hersi, mnashindwa kujiuliza haya machache,,

1: Baada ya kufungwa na Tabora , Gamondi alionekana mazoezini tena na kikosi Cha Yanga. Kama issue ni matokeo ya Tabora, mediately He was supposed to be sacked!

2: Ni uongozi gani wa club, unaweza kumfukuza kocha mwenye rekodi ya aina ya Gamondi, kwa kupoteza mechi mbili tu tena mwanzoni tu mwa league?

Moja ya maamuzi Bora waliyowahi kufanya viongozi wa Yanga ni hili la kumpiga chini Gamondi, why?
1: Gamondi jeuri, hashauriki, hasira, mgomvi haswa, haongozwi...yaani yeye ni over all authority, unaweza kuamini mwaliko ule wa kaizer chief, Gamondi alikataa kupeleka timu ni uongozi tu ilibidi u force
2: Performance ya timu. Yanga imesajili vzur ila Kila siku performance ilikuwa inashuka, Displine mbovu ya wachezaji.....kocha gani anaenda night club na wachezaji
3: Kukosa maelewano na baadhi ya wachezaji, technical bench, na hata uongozi wa juu. Gamondi aliamini ni wachezaji flani ndio wanaweza kumpa matokeo na wengine si lolote, of which He was totally wrong!
4: Gamondi hakutaka kuwa just a Couch, yeye binafsi alikuwa analazimisha kujipa u manager wakati kwa timu zetu za Yanga na Simba hilo halipo... Go go go Gamond
Iko hivi gamondi historia yake yote ya ukocha hajawahi maliza mwaka na nusu kufundisha timu lazima atimuliwe
 
Back
Top Bottom