Watu mnakimbilia kulaumu engineer Hersi, mnashindwa kujiuliza haya machache,,
1: Baada ya kufungwa na Tabora , Gamondi alionekana mazoezini tena na kikosi Cha Yanga. Kama issue ni matokeo ya Tabora, mediately He was supposed to be sacked!
2: Ni uongozi gani wa club, unaweza kumfukuza kocha mwenye rekodi ya aina ya Gamondi, kwa kupoteza mechi mbili tu tena mwanzoni tu mwa league?
Moja ya maamuzi Bora waliyowahi kufanya viongozi wa Yanga ni hili la kumpiga chini Gamondi, why?
1: Gamondi jeuri, hashauriki, hasira, mgomvi haswa, haongozwi...yaani yeye ni over all authority, unaweza kuamini mwaliko ule wa kaizer chief, Gamondi alikataa kupeleka timu ni uongozi tu ilibidi u force
2: Performance ya timu. Yanga imesajili vzur ila Kila siku performance ilikuwa inashuka, Displine mbovu ya wachezaji.....kocha gani anaenda night club na wachezaji
3: Kukosa maelewano na baadhi ya wachezaji, technical bench, na hata uongozi wa juu. Gamondi aliamini ni wachezaji flani ndio wanaweza kumpa matokeo na wengine si lolote, of which He was totally wrong!
4: Gamondi hakutaka kuwa just a Couch, yeye binafsi alikuwa analazimisha kujipa u manager wakati kwa timu zetu za Yanga na Simba hilo halipo... Go go go Gamond