Am_tunnechi
JF-Expert Member
- Nov 12, 2022
- 1,060
- 1,956
Wajinga hawatokuelewa hapa mkuu ila umemaliza vyema sana, ni vile timu ilikuwa inashinda ila kiwango kilikuwa kibovu mnoo.Tangu ligi ianze tunaperfom chini ya kiwango.
Mimi binafsi naona ni maamuzi sahihi kuinusuru timu.
Tofauti ni melanin pigments tu!!!!Kumbe engineer nae kama Haji Manara tu
Ndio waliowapa ajiraKwa jirani kunawaka moto yaani hamjui kabisa kitu uvumilivu, mechi mbili tu.
Shida ya uongozi wa yanga wanasikiliza sana mashabiki wao.
Hili sio tatizo, Yanga ya bakul ilishawahi kukupiga weweWote Mnaukwepa Ukweli, GSM Kashaanza Kuishiwa.
Mshahara Wa Gamondi Kashindwa,mkitaka Gamondi aendelee Jikusanyeni mumlipe Salary.
Yanga Imefungiwa na FIFA kusajili Kwa Kuwa Wameshindwa kumlipa Okra Magic..!
Wakati GSM anakata Moto.....!
Mo Dewji anazidi kumwaga mihela ya Kusajili kama njugu, WanaLunyasi Wanampango Kuandamana kushinikiza asimame Kufanya usajili Mwingine
Usimalize maneno. Usiku wa Deni haukawii.Hakuna timu humo kaka, biashara ndo ishakwisha hiyo.
Sio Yangu tu mzee. Timu kubwa zote zina ujiNga wa aina hii mkuu. Nadhani labda TFF waweke kanuni ya kuzuia kocha kufukuzwa kazi kabla ya kumaliza walau miaka 2 kwenye utumishi wake.Nilikua namuona injinia kama mtu smart kumbe nae ni wale wale tu (wapumbavu)
Kundi la wapumbavu ni kubwa
Mechi mbili unafukuza kocha? Unataka usifungwe mechi yoyote wewe ni nani?
Kocha ana takwimu nzuri unamfukuza kwa ushabiki wa kijinga
Pumbavu
Sasa timu zitakuwa zinaikamia sana Yanga. Hii timu ndio basi tena, kwisha kazi!Wameamuwa kuvuruga timu yetu
HahahhahaRaha ya milele umuangazie eeh bwana
View attachment 3152877
Hawa mbwa wameaanza kuvurugana rasmi. Hawana jipya!Uongozi wa Klabu ya Yanga umetangaza kuvunja mkataba na Kocha mkuu wa kikosi cha kwanza Miguel Gamond na msaidizi wake
Wajuzi wa Mambo tulisema Mkaomba picha Mnato
View attachment 3152856
Halafu upwiru aje atolee kwako?Fukuzeni Azizi kii...afu mobeto apewe onyo Kali....
Iko hivi gamondi historia yake yote ya ukocha hajawahi maliza mwaka na nusu kufundisha timu lazima atimuliweWatu mnakimbilia kulaumu engineer Hersi, mnashindwa kujiuliza haya machache,,
1: Baada ya kufungwa na Tabora , Gamondi alionekana mazoezini tena na kikosi Cha Yanga. Kama issue ni matokeo ya Tabora, mediately He was supposed to be sacked!
2: Ni uongozi gani wa club, unaweza kumfukuza kocha mwenye rekodi ya aina ya Gamondi, kwa kupoteza mechi mbili tu tena mwanzoni tu mwa league?
Moja ya maamuzi Bora waliyowahi kufanya viongozi wa Yanga ni hili la kumpiga chini Gamondi, why?
1: Gamondi jeuri, hashauriki, hasira, mgomvi haswa, haongozwi...yaani yeye ni over all authority, unaweza kuamini mwaliko ule wa kaizer chief, Gamondi alikataa kupeleka timu ni uongozi tu ilibidi u force
2: Performance ya timu. Yanga imesajili vzur ila Kila siku performance ilikuwa inashuka, Displine mbovu ya wachezaji.....kocha gani anaenda night club na wachezaji
3: Kukosa maelewano na baadhi ya wachezaji, technical bench, na hata uongozi wa juu. Gamondi aliamini ni wachezaji flani ndio wanaweza kumpa matokeo na wengine si lolote, of which He was totally wrong!
4: Gamondi hakutaka kuwa just a Couch, yeye binafsi alikuwa analazimisha kujipa u manager wakati kwa timu zetu za Yanga na Simba hilo halipo... Go go go Gamond
Tulia kwanza ulitaka kuandika niniNlikuw Hersi ana akili kumbe ni mjinga tu