Rasmi: Yanga yavunja Mkataba na Gamondi

Kufungwa mechi mbili tuu😀
 
Uongozi wa Yanga una tofauti gani na wazee wa Yanga?
Wameamua kupita njia ileile ambayo Simba waliipita msimu uliopita.
Pumbavu kabisa
 
Nilikua namuona injinia kama mtu smart kumbe nae ni wale wale tu (wapumbavu)

Kundi la wapumbavu ni kubwa

Mechi mbili unafukuza kocha? Unataka usifungwe mechi yoyote wewe ni nani?

Kocha ana takwimu nzuri unamfukuza kwa ushabiki wa kijinga

Pumbavu
Tàtizo ni Ali Kamwe aliwaaminisha kwamba Yanga hawawezi kufungwa na wanadamu.
 
Nilikua namuona injinia kama mtu smart kumbe nae ni wale wale tu (wapumbavu)

Kundi la wapumbavu ni kubwa

Mechi mbili unafukuza kocha? Unataka usifungwe mechi yoyote wewe ni nani?

Kocha ana takwimu nzuri unamfukuza kwa ushabiki wa kijinga

Pumbavu
Makolokolo Mwandamizi akijifanya ana uchungu mkali sana na Yanga SC mithili ya Ke anayejifungua mapacha kijijini Matombo...😁

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Ni mtu mwenye kuwaza nje ya box tu anaeweza kuelewa hii sabotage inayofanywa na viongozi wa juu kwa kushirikia na baadhi ya wachezaji kumhujumu kocha....ili mkataba uvunjwe
Watafute kocha mwingine wapiga hela!...

Ukiwaza kwa juujuuu huwezi kuliona hili...

kupoteza mechi 2 tena sio za rivals wako wote... then kocha kufukuzwa...kuna walakini!
 
Nilikua namuona injinia kama mtu smart kumbe nae ni wale wale tu (wapumbavu)

Kundi la wapumbavu ni kubwa

Mechi mbili unafukuza kocha? Unataka usifungwe mechi yoyote wewe ni nani?

Kocha ana takwimu nzuri unamfukuza kwa ushabiki wa kijinga

Pumbavu
Niliwahi kusema humu kwamba, mtu anaweza kuwa smart kwenye mambo mengine, lakini linapokuja suala la mpira wa Simba na Yanga akili ya Mo Dewji na Injinia Hersi inakuwa HAINA TOFAUTI na akili ya Mzee Ally Bamchawi na Mzee Yahya Akilimali "Abramovich".
 
Wote Mnaukwepa Ukweli, GSM Kashaanza Kuishiwa.

Mshahara Wa Gamondi Kashindwa,mkitaka Gamondi aendelee Jikusanyeni mumlipe Salary.

Yanga Imefungiwa na FIFA kusajili Kwa Kuwa Wameshindwa kumlipa Okra Magic..!

Wakati GSM anakata Moto.....!

Mo Dewji anazidi kumwaga mihela ya Kusajili kama njugu, WanaLunyasi Wanampango Kuandamana kushinikiza asimame Kufanya usajili Mwingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…