Rasmi: Yanga yavunja Mkataba na Gamondi

Rasmi: Yanga yavunja Mkataba na Gamondi

Nilikua namuona injinia kama mtu smart kumbe nae ni wale wale tu (wapumbavu)

Kundi la wapumbavu ni kubwa

Mechi mbili unafukuza kocha? Unataka usifungwe mechi yoyote wewe ni nani?

Kocha ana takwimu nzuri unamfukuza kwa ushabiki wa kijinga

Pumbavu
Tulieni dawa iwaingie!!
 
Kumechangamka huku kufungwa mara 2,mara masindano,mara ulozi,hatujakaa sawa manara,mara kocha kakimbizwa
NCHI HII SIO YA KUHAMA MAANA FULL BURUDANI
 
Nilikua namuona injinia kama mtu smart kumbe nae ni wale wale tu (wapumbavu)

Kundi la wapumbavu ni kubwa

Mechi mbili unafukuza kocha? Unataka usifungwe mechi yoyote wewe ni nani?

Kocha ana takwimu nzuri unamfukuza kwa ushabiki wa kijinga

Pumbavu
🤣
1000016046.jpg
 
Kosa lake eti baada ya kipigo cha 3 walitaka meeting palepale uwanjani- njemba akagoma akasepa zake na kocha wake.

Pia kawaambia ukweeli maboresho ya kikosi hayakutokana na mapendekezo yake aka Chama ni mzigo.
 
Back
Top Bottom