Rasmi: Yanga yavunja Mkataba na Gamondi

attitude ya yanga ya kutooģopa mabadiliko,ndo iliyoifikisha hapa kuwa timu iliyofanikiwa zaidi nchini.
Kujiamini kupita kiasi ni tatizo.
Katikati ya mashindano muhimu wachezaji na kocha mpya wataelewana?
 
Kosa lake eti baada ya kipigo cha 3 walitaka meeting palepale uwanjani- njemba akagoma akasepa zake na kocha wake.

Pia kawaambia ukweeli maboresho ya kikosi hayakutokana na mapendekezo yake aka Chama ni mzigo.
Chama na Aziz nani mzigo kwa Sasa?
 
We na uwe unatumia akili muda mwingine, ukimfukuza kocha Ina maana unavunja mkataba unatakiwa kumlipa maslahi yake na mshahara wake uliobaki, hapa yanga ndo anaingia hasara sasa, mambo ya GSM kuishiwa yametoka wapi
 
Hizi timu za kariakoo hazieleweki kabisa,mechi mbili tu kuna mengi chini ya kapert hatuyajui
 
Nilikua namuona injinia kama mtu smart kumbe nae ni wale wale tu (wapumbavu)

Kundi la wapumbavu ni kubwa

Mechi mbili unafukuza kocha? Unataka usifungwe mechi yoyote wewe ni nani?

Kocha ana takwimu nzuri unamfukuza kwa ushabiki wa kijinga

Pumbavu
Tuchel alifukuzwa pale chelsea kwa kufungwa mech 3 ikiwa msimu uliopita aliwapa chelsea UEFA
 
Kubwa jinga moja linajiita UMUGHAKA litakua limefurahi
 
Gamond kilichomfukuzisha ni kama Rhulan Mokwena tu... mwaka jana Gamond alimu expose sana kwenye mechi ya robo fainali na ilibidi mamelodi watolewe pale wakapita kwa ndondokela! Baada ya pale Mamelodi wakaanza kuchezesha mpira ule ule waliochezeshewa na Yanga ikawa ngumu kutoboa... sasa uzuri wenzetu wao hayo mambo yamewakuta mwisho wa msimu wakaona waachane na Rhulan! YANGA ilichokosea ni kuongeza mkataba na Gamond ilihali alishauza mbinu ya vita kwa adui! Watu wameenda break na homework za kumzuia Gamond tu! Ligi imeanza timu zimegeuka mabeki wanashambulia kwa counter! Kwahiyo hio kitu ilishaonekana tangu mwanzo sio kwamba Yanga imeshuka ila ni vile mbinu ya Gamond washaipatia jibu kwahiyo kuendelea na Gamond kutaifanya Yanga iwe ngumu zaidi kuchukua ubingwa. Mana Bila mabeki wa maana kwa mpira wake hutoboi na kule mbele wakina Dube nao ndo wanazingua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…