Rasmi: Yanga yavunja Mkataba na Gamondi

Rasmi: Yanga yavunja Mkataba na Gamondi

Nilikua namuona injinia kama mtu smart kumbe nae ni wale wale tu (wapumbavu)

Kundi la wapumbavu ni kubwa

Mechi mbili unafukuza kocha? Unataka usifungwe mechi yoyote wewe ni nani?

Kocha ana takwimu nzuri unamfukuza kwa ushabiki wa kijinga

Pumbavu
YAweza kuwa kapewa dau kubwa zaidi mahali,ila sii kifungwa mechi mbili.
 
Nilikua namuona injinia kama mtu smart kumbe nae ni wale wale tu (wapumbavu)

Kundi la wapumbavu ni kubwa

Mechi mbili unafukuza kocha? Unataka usifungwe mechi yoyote wewe ni nani?

Kocha ana takwimu nzuri unamfukuza kwa ushabiki wa kijinga

Pumbavu
Kwa hili enjinia kazingua sana.
 
Back
Top Bottom