Toka mwanzo nakuambia miimi sitaki mashoga unakuja mpaka DM unaomba pipe mimi siyo zangu hizo kama uliharibiwa seminari na Mafather mimi sina cha kukusaidia.Wewe bado Fala Tu hiyo inajulikana Una laana ya wizi wewe na Baba yako
kwa hiyo sio rahisi kuisha siku za hivi karibuni?Wagalatia si mnapenda vita
Sawasawa ni hatariVita ya tatu ya dunia ndiyo imeanza hivyo.
Haitawezekana kama vile ambavyo makampuni makubwa ya dawa yanavyofurahia sisi kuendelea kuumwaMpaka pale wafanyabiashara wa silaha watakapobadili biashara
Basi hivi ni vichocheo vya vita ya 3 ya duniaHazitaisha mkuu. Hawa watu ni washari by nature. Myahudi kazi anayo maana hao wote; kutoka Kusini, Kaskazini, Mashariki na Magharibi pasi na hiari ni lazima awape dawa.
Kuna watu wanapenda jamani. Hawa Yemeni wamekuwa wakitwangana wenyewe kwa wenyewe miaka mingi; je vimeisha?Hii vita inaenda kuwa vita ya Ukanda wote
Yemen imetangaza kuanza vita rasmi na Israel na imetangaza kuanza operesheni maalum ya kuichakaza Israel kwa makombora na Drones
‘Vikosi vyetu vilivyojihami vimerusha makombora ya balestiki na ya kusafiri, pamoja na idadi kubwa ya ndege zisizo na rubani, dhidi ya shabaha mbalimbali nchini Israel. Tutaendelea kufanya mashambulizi hadi uvamizi wa Israel ukomeshwe, msemaji wa Jeshi la Yemen Yahya Sarie Anu.
[emoji298]️[emoji329]The full statement of the Yemeni army :
1- #With the help of God Almighty, our armed forces launched a large number of ballistic and winged missiles, as well as drones at various targets of the #Israeli enemy in the occupied territories.
2-The Yemeni Armed Forces confirm that this is the third operation in support of our oppressed brothers in #Palestine, and that the armed Forces will continue to carry out more qualitative missile and drone attacks until #Israel ceases its aggression.
3-The Yemeni Armed Forces confirm that this is the third operation in support of our oppressed brothers in #Palestine, and that the armed Forces will continue to carry out more qualitative missile and drone attacks until #Israel ceases its aggression.
4-We affirm that our Yemeni people's attitude on the Palestinian issue is firm and ethical, and that the #Palestinian people have the full right to self-defense and legitimate rights.
5-The #Zionist enemy entity's ongoing execution of crimes and killings against the people of #Gaza Strip and all of occupied Palestine destabilizes the region and extends the circle of conflict.
The victory comes only from God.
Tukumbuke Yemen wana makombora ya Masafa marefu mazito na ya Ballistic yenye uwezo wa kupiga kilometa hadi 3000
Na wametishia kukichoma kituo cha Nyukilia cha Israel cha Dimona!!
Wakati huo huo Mkuu wa Jeshi la Hezbollah la Lebanon atatoa hotuba siku ya Ijumaa tarehe 3 hotuba inayosubiriwa kwa hamu....Za Chini ya Kapeti zinadai watatangaza vita rasmi na Israel na kukomboa eneo la Mashamba ya Shabbah
View attachment 2799323
Ni kweli na makundi mengine pia, aisee inahuzunishaWanao umia ni watoto
sahihiIshara, kwamba yu karibu malangoni. Muonapo haya, changamkeni...
Wewe upo Kimara Temboni hujui chochote zaidi kuropoka tu.hawa hata hawawezi kuwanyima israel usingizi, hata mahandaki hawana hawa,watapukutishwa kama hawajawahi sikia. waache waingie kwenye mdomo wa mamba.
Wanaoathirika sana sana ni watoto na watu wengine wasio na hatiaAisee...
Yani yanayoendelea pande hizo hayatizamiki mara mbili aisee..
Tulia we uchomwe singe we Myahudi MadaleMkijibiwa msianze kulialia
haina shida, vilevile wanavyoshangilia askari wa kiyahudi mmoja akifa, washangilie pia na bomu likifumua watoto wao. wasiwe wanalialia sasa.Wewe upo Kimara Temboni hujui chochote zaidi kuropoka tu.
Kabisa na wasianze kusema Israel haifuati sheria za kivita, wakati wao wanafyatua makombora kwenda Israel kama vipofu bila kujali raia na wanajeshi wkt kambi za kijeshi zipo tofauti na wao wanaficha silaha hospitali.Wasije anza kulia pale Israel itakapoanza kusafisha huko Yemen.
Mkuu umeleta uzi mwingine.Hii vita inaenda kuwa vita ya Ukanda wote
Yemen imetangaza kuanza vita rasmi na Israel na imetangaza kuanza operesheni maalum ya kuichakaza Israel kwa makombora na Drones
‘Vikosi vyetu vilivyojihami vimerusha makombora ya balestiki na ya kusafiri, pamoja na idadi kubwa ya ndege zisizo na rubani, dhidi ya shabaha mbalimbali nchini Israel. Tutaendelea kufanya mashambulizi hadi uvamizi wa Israel ukomeshwe, msemaji wa Jeshi la Yemen Yahya Sarie Anu.
[emoji298]️[emoji329]The full statement of the Yemeni army :
1- #With the help of God Almighty, our armed forces launched a large number of ballistic and winged missiles, as well as drones at various targets of the #Israeli enemy in the occupied territories.
2-The Yemeni Armed Forces confirm that this is the third operation in support of our oppressed brothers in #Palestine, and that the armed Forces will continue to carry out more qualitative missile and drone attacks until #Israel ceases its aggression.
3-The Yemeni Armed Forces confirm that this is the third operation in support of our oppressed brothers in #Palestine, and that the armed Forces will continue to carry out more qualitative missile and drone attacks until #Israel ceases its aggression.
4-We affirm that our Yemeni people's attitude on the Palestinian issue is firm and ethical, and that the #Palestinian people have the full right to self-defense and legitimate rights.
5-The #Zionist enemy entity's ongoing execution of crimes and killings against the people of #Gaza Strip and all of occupied Palestine destabilizes the region and extends the circle of conflict.
The victory comes only from God.
Tukumbuke Yemen wana makombora ya Masafa marefu mazito na ya Ballistic yenye uwezo wa kupiga kilometa hadi 3000
Na wametishia kukichoma kituo cha Nyukilia cha Israel cha Dimona!!
Wakati huo huo Mkuu wa Jeshi la Hezbollah la Lebanon atatoa hotuba siku ya Ijumaa tarehe 3 hotuba inayosubiriwa kwa hamu....Za Chini ya Kapeti zinadai watatangaza vita rasmi na Israel na kukomboa eneo la Mashamba ya Shabbah
View attachment 2799323
Mkuu una story za uongo.Hii vita inaenda kuwa vita ya Ukanda wote

SASA HAWA MGAMBO SI NDIO SAUDIA WANAWAPA KICHAPO KILA SIKU.🤣🤣🤣[emoji1320][emoji1320]View attachment 2799329
Misri wanapiga kila nyumba kumsaka mazayuni wakiwapa vibanoMimi nilijua watatangaza mipango na mikakati ya mazungumzo ya kufikia amani ukanda wa Gaza kumbe wanajiingiza Vitani.
Shauri yao, wanatafuta shari kutoka kwa Israel, kitakachofuata wasije wakalalamika.
NOTE:
Misri wametumia akili kukaa kimya, na waendelee hivyo hivyo kukaa kimya, wakijiingiza tu vitani kichapo kitatua Afrika pia.
Utakuwa unaota wewe.Saudia kapata aibu kupitia waasi wa yemen.wamefanyiwa Ambuse kila sehemu mpaka wakaomba pooSASA HAWA MGAMBO SI NDIO SAUDIA WANAWAPA KICHAPO KILA SIKU.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]