Rasmi: Yemen watangaza vita na Israel

Rasmi: Yemen watangaza vita na Israel

Mimi nilijua watatangaza mipango na mikakati ya mazungumzo ya kufikia amani ukanda wa Gaza kumbe wanajiingiza Vitani.
Shauri yao, wanatafuta shari kutoka kwa Israel, kitakachofuata wasije wakalalamika.

NOTE:
Misri wametumia akili kukaa kimya, na waendelee hivyo hivyo kukaa kimya, wakijiingiza tu vitani kichapo kitatua Afrika pia.

Misri anajua kabisa hali halisi, Ameshapigwa mara 3 kwa 0 sasa akaona huyu mtu sio

Yemeni haina tofauti na Msumbiji zaidi ina raia wanaojilipua tu kwa mgongo wa Mabikira 70
 
Ikiwa ni kweli,Iran ijiandae!
1698772879189.png
 
Mimi nilijua watatangaza mipango na mikakati ya mazungumzo ya kufikia amani ukanda wa Gaza kumbe wanajiingiza Vitani.
Shauri yao, wanatafuta shari kutoka kwa Israel, kitakachofuata wasije wakalalamika.

NOTE:
Misri wametumia akili kukaa kimya, na waendelee hivyo hivyo kukaa kimya, wakijiingiza tu vitani kichapo kitatua Afrika pia.
Huoni aibu kama USA amekataa na Netanyahu, kuzima vita unategemea nini halafu huoni aibu USA kuichangia gazi pamoja
 
Hii vita inaenda kuwa vita ya Ukanda wote

Yemen imetangaza kuanza vita rasmi na Israel na imetangaza kuanza operesheni maalum ya kuichakaza Israel kwa makombora na Drones

‘Vikosi vyetu vilivyojihami vimerusha makombora ya balestiki na ya kusafiri, pamoja na idadi kubwa ya ndege zisizo na rubani, dhidi ya shabaha mbalimbali nchini Israel. Tutaendelea kufanya mashambulizi hadi uvamizi wa Israel ukomeshwe, msemaji wa Jeshi la Yemen Yahya Sarie Anu.

[emoji298]️[emoji329]The full statement of the Yemeni army :

1- #With the help of God Almighty, our armed forces launched a large number of ballistic and winged missiles, as well as drones at various targets of the #Israeli enemy in the occupied territories.

2-The Yemeni Armed Forces confirm that this is the third operation in support of our oppressed brothers in #Palestine, and that the armed Forces will continue to carry out more qualitative missile and drone attacks until #Israel ceases its aggression.

3-The Yemeni Armed Forces confirm that this is the third operation in support of our oppressed brothers in #Palestine, and that the armed Forces will continue to carry out more qualitative missile and drone attacks until #Israel ceases its aggression.

4-We affirm that our Yemeni people's attitude on the Palestinian issue is firm and ethical, and that the #Palestinian people have the full right to self-defense and legitimate rights.

5-The #Zionist enemy entity's ongoing execution of crimes and killings against the people of #Gaza Strip and all of occupied Palestine destabilizes the region and extends the circle of conflict.

The victory comes only from God.

Tukumbuke Yemen wana makombora ya Masafa marefu mazito na ya Ballistic yenye uwezo wa kupiga kilometa hadi 3000

Na wametishia kukichoma kituo cha Nyukilia cha Israel cha Dimona!!

Wakati huo huo Mkuu wa Jeshi la Hezbollah la Lebanon atatoa hotuba siku ya Ijumaa tarehe 3 hotuba inayosubiriwa kwa hamu....Za Chini ya Kapeti zinadai watatangaza vita rasmi na Israel na kukomboa eneo la Mashamba ya Shabbah

View attachment 2799323
Yemen anataka kumwongezea Israeli eneo.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Misri anajua kabisa hali halisi, Ameshapigwa mara 3 kwa 0 sasa akaona huyu mtu sio

Yemeni haina tofauti na Msumbiji zaidi ina raia wanaojilipua tu kwa mgongo wa Mabikira 70
Misra yule kiongozi amewekwa na marekani ,na ndo hepwnda watu wa naman hiyo ,pia huyo isisi anapokea misaada mingi sana kutoka USA ndo maaana hawezi sema lolote
 
Limeshushwa misile moja leo limeenda na watu zaidi ya 100...

The world is watching..!? We are watching!??
Why!?😔😔
 
Back
Top Bottom