Myahudi Jr II
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 6,816
- 8,809
Mimi nilijua watatangaza mipango na mikakati ya mazungumzo ya kufikia amani ukanda wa Gaza kumbe wanajiingiza Vitani.
Shauri yao, wanatafuta shari kutoka kwa Israel, kitakachofuata wasije wakalalamika.
NOTE:
Misri wametumia akili kukaa kimya, na waendelee hivyo hivyo kukaa kimya, wakijiingiza tu vitani kichapo kitatua Afrika pia.
Unakumbuka matokeo ya vita ya Taliban n NATO.Kanchi kadogo kakimasikini kanaenda kuingilia vita ambayo haiwahusu….akili za hawa watu wanazijua wenyewe!
Kwani marekani yeye anavyoingilia hii vita inamuhusu? Let's discuss this logicallyKanchi kadogo kakimasikini kanaenda kuingilia vita ambayo haiwahusu….akili za hawa watu wanazijua wenyewe!
Ikiwa ni kweli,Iran ijiandae!
Ndio maana ni vita vya kidini dhidi ya waislamLabda kwa ujinga tu lakini sitaki kuamini kwamba hujui marekani ameshapeleka silaha nzito sana na manowari zake kwaajili ya kuisaidia israeli.
Hesabu za uwianoKanchi kadogo kakimasikini kanaenda kuingilia vita ambayo haiwahusu….akili za hawa watu wanazijua wenyewe!
Tunao fikiri ni vitaa ya kidini ni sisi huku ulimwengu wa 3 lakini kwa akili za ulimwengu wa kwanza hii ni vita ya existence!Ndio maana ni vita vya kidini dhidi ya waislam
Aisee...VITA HIZI SIJUI ZITAISHA LINI
Wewe kama unasema ni vita dhidi ya uislamu jiulize palestina amezungukwa na nchi ngapi za waislamu na hawamsaidii? Saudi Arabia pale ni pua na mdomo lakini ndio kwanza kambi za wanajeshi wa marekani zipo pale.Ndio maana ni vita vya kidini dhidi ya waislam
Sawa ila siongozwi na mihemko. Asante kwa kuniita kafiri najuwa tatizo uelewa mdogo.Sema wewe kafiri kwa sababu dhidi ya waislam ndio unasema sio vya kidini
Huoni aibu kama USA amekataa na Netanyahu, kuzima vita unategemea nini halafu huoni aibu USA kuichangia gazi pamojaMimi nilijua watatangaza mipango na mikakati ya mazungumzo ya kufikia amani ukanda wa Gaza kumbe wanajiingiza Vitani.
Shauri yao, wanatafuta shari kutoka kwa Israel, kitakachofuata wasije wakalalamika.
NOTE:
Misri wametumia akili kukaa kimya, na waendelee hivyo hivyo kukaa kimya, wakijiingiza tu vitani kichapo kitatua Afrika pia.
Yemen anataka kumwongezea Israeli eneo.Hii vita inaenda kuwa vita ya Ukanda wote
Yemen imetangaza kuanza vita rasmi na Israel na imetangaza kuanza operesheni maalum ya kuichakaza Israel kwa makombora na Drones
‘Vikosi vyetu vilivyojihami vimerusha makombora ya balestiki na ya kusafiri, pamoja na idadi kubwa ya ndege zisizo na rubani, dhidi ya shabaha mbalimbali nchini Israel. Tutaendelea kufanya mashambulizi hadi uvamizi wa Israel ukomeshwe, msemaji wa Jeshi la Yemen Yahya Sarie Anu.
[emoji298]️[emoji329]The full statement of the Yemeni army :
1- #With the help of God Almighty, our armed forces launched a large number of ballistic and winged missiles, as well as drones at various targets of the #Israeli enemy in the occupied territories.
2-The Yemeni Armed Forces confirm that this is the third operation in support of our oppressed brothers in #Palestine, and that the armed Forces will continue to carry out more qualitative missile and drone attacks until #Israel ceases its aggression.
3-The Yemeni Armed Forces confirm that this is the third operation in support of our oppressed brothers in #Palestine, and that the armed Forces will continue to carry out more qualitative missile and drone attacks until #Israel ceases its aggression.
4-We affirm that our Yemeni people's attitude on the Palestinian issue is firm and ethical, and that the #Palestinian people have the full right to self-defense and legitimate rights.
5-The #Zionist enemy entity's ongoing execution of crimes and killings against the people of #Gaza Strip and all of occupied Palestine destabilizes the region and extends the circle of conflict.
The victory comes only from God.
Tukumbuke Yemen wana makombora ya Masafa marefu mazito na ya Ballistic yenye uwezo wa kupiga kilometa hadi 3000
Na wametishia kukichoma kituo cha Nyukilia cha Israel cha Dimona!!
Wakati huo huo Mkuu wa Jeshi la Hezbollah la Lebanon atatoa hotuba siku ya Ijumaa tarehe 3 hotuba inayosubiriwa kwa hamu....Za Chini ya Kapeti zinadai watatangaza vita rasmi na Israel na kukomboa eneo la Mashamba ya Shabbah
View attachment 2799323
Misra yule kiongozi amewekwa na marekani ,na ndo hepwnda watu wa naman hiyo ,pia huyo isisi anapokea misaada mingi sana kutoka USA ndo maaana hawezi sema loloteMisri anajua kabisa hali halisi, Ameshapigwa mara 3 kwa 0 sasa akaona huyu mtu sio
Yemeni haina tofauti na Msumbiji zaidi ina raia wanaojilipua tu kwa mgongo wa Mabikira 70
Haijalishi. Lkn hivi vita dhidi ya waislam. Umeona kafiri Ukraine alipovamiwa? Hukusikia dunia?Wewe kama unasema ni vita dhidi ya uislamu jiulize palestina amezungukwa na nchi ngapi za waislamu na hawamsaidii? Saudi Arabia pale ni pua na mdomo lakini ndio kwanza kambi za wanajeshi wa marekani zipo pale.
Kuna kenge maji watakuja kupovuka hapa kuwa tuwaombee hao wapumbavu, unafki na dini ile ni samaki na maji.Hatutaki lawama na kutiliana huruma sisi. Haya ngoja wayavagae sasa.
Ishara, kwamba yu karibu malangoni. Muonapo haya, changamkeni...VITA HIZI SIJUI ZITAISHA LINI
Labda kwa ujinga tu lakini sitaki kuamini kwamba hujui marekani ameshapeleka silaha nzito sana na manowari zake kwaajili ya kuisaidia israeli.