Rasmi: Yemen yatangaza vita na israel (Yemen Declares War with Israel)

FaizaFoxy

Platinum Member
Joined
Apr 13, 2011
Posts
100,246
Reaction score
123,145
Yemen rasmi wametangaza vita na Israel na wamewataka wakazi wote wa Tel Aviv kulihama hilo jiji la mashoga tel aviv, kwa kuwa lipo ndani ya uwezo wao kulibamiza na wameshaonesha hilo nara mbili tatu.

Wameendelea kusema kuwa "hauliwi Myemeni na yeyote yule duniani bila damu yake kulipwa, tupo tayari kupigana mpaka Myemeni wa mwisho kabisa duniani lakini ni lazima damu ya Myemeni ilipwe. Wasiolijuwa hilo, wasome historia.

Wayemeni wamekumbusha, mayahudi walipokosa pakuishi huko zamani, Yemeni ilikuwa nchi ya kwanza kihistoria kuwapokea, kuwapa makazi na kuwaweka huru kama raia mwenginebyeyote yule.

Leo hawa mashetani mazayuni wameleta fitnah kubwa duniani, haivumiliki".

Wanasema wana uwezo wa kubamiza popote ndani ya Israel na wameziweka wazi shabaha (targets) zao zote. Jionee 👇🏾

View: https://youtu.be/AZUhEUCjqYs?si=jdT6Q7kwaZl-IX8a
 
Hao sio Yemen hao ni wahuthi ,kwa umri wako hujui hata kinachoendelea Yemen hadi leo nchi iliyogawanywa kati ya SUNN na shia , Saudi Arabia iksapoti Sunn na irani shia ambao ndio wahuthi . Shule ulikwenda kusoma ujinga wewe bibi

USSR
 
Mnazidi kudhihirosha ukondoo wenu. Aliewaita kondoo hajakosea.

Nani alikudanganya Wahouthi siyo Wayemeni?
 
Yemen rasmi wametangaza vita na Israel na wamewataka wakazi wote wa Tel Aviv kulihama hilo jiji la mashoga tel aviv, kwa kuwa lipo ndani ya uwezo wao kulibamiza na wameshaonesha hilo nara mbili tatu.

Wameendelea kusema kuwa "hauliwi Myemeni na yeyote yule duniani bila damu yake kulipwa, tupo tayari kupigana mpaka Myemeni wa mwisho kabisa duniani lakini ni lazima damu ya Myemeni ilipwe. Wasiolijuwa hilo, wasome historia.

Wayemeni wamekumbusha, mayahudi walipokosa pakuishi huko zamani, Yemeni ilikuwa nchi ya kwanza kihistoria kuwapokea, kuwapa makazi na kuwaweka huru kama raia mwenginebyeyote yule.

Leo hawa mashetani mazayuni wameleta fitnah kubwa duniani, haivumiliki".

Wanasema wana uwezo wa kubamiza popote ndani ya Israel na wameziweka wazi shabaha (targets) zao zote. Jionee 👇🏾

View: https://youtu.be/AZUhEUCjqYs?si=jdT6Q7kwaZl-IX8a

Uwe unatofautisha kati ya Houth na Yemen
 
Hao sio Yemen hao ni wahuthi ,kwa umri wako hujui hata kinachoendelea Yemen hadi leo nchi iliyogawanywa kati ya SUNN na shia , Saudi Arabia iksapoti Sunn na irani shia ambao ndio wahuthi . Shule ulikwenda kusoma ujinga wewe bibi

USSR
Houthi ndio wanashikilia Sanaa mji mkuu wa Yemen.
Na 90% ya Yemeni population wanaikubali Houthi.
 
Back
Top Bottom