Kambaku
JF-Expert Member
- Nov 12, 2011
- 8,332
- 31,306
Faiza umevurugwa haswa leo, hadi unachapia na wewe wakati ndio huwa uko mstari wa mbele kushushua watu wakichapia unaawambia huko shuleni walienda kusomea ujinga?Mnazidi kudhihirosha ukondoo wenu. Aliewaita kondoo hajakosea.
Nani alikudanganya Wahouthi siyo Wayemeni?
Umechapia mara kadhaa katika bandiko hili. Hebu fanya proof reading kabla ya kubofya kitufe cha send dada yangu kama ilivyo kawaida yako.