Casio
JF-Expert Member
- Oct 13, 2023
- 345
- 389
Ayatollah tumemfuta dunianiBado hujaamka usingizini mzee? Achana ma propaganda za mashog,a kwamba Israel ana nguvu za kijeshi kumbe ni wavaa pampas na kuwadekea mabwana zake ili wamsaidie kumlinda.
Achana na stori za wachungaji feki hapo kanisani wanaoweka bendera ya Israel wakiwaaminisha kondoo propaganda za mashog,a.
Dunia ya leo sio ya kudanganywa tena mkuu kila kitu kipo wazi tunajionea mbabe wa kweli hahitaji msaada wa mwingine anashusha vyuma direct hadi Tel Aviv.