Rasmi: Yemen yatangaza vita na israel (Yemen Declares War with Israel)

Rasmi: Yemen yatangaza vita na israel (Yemen Declares War with Israel)

🤣🤣 Haki ya Mungu kuna vichekesho vingi humu JF. Yaani Israel huyu huyu aipige mashariki ya kati?

Kipigo cha jana kutoka Iran bado kinawauma miilini mwao hawajui washike lipi waache lipi halafu unazungumza kichekesho kama hiki!
Huwezi kuelewa una elimu dini ,uwezo wako wa kufikiri unaishia kwenye ugaidi na kujilipua
 
Wahouth watata sana, hawa wamezaliwa kupigana vita kwao kufa sio issue sana.
 
We bibie emu kama nimashoga jarbu kupeleka hyo big nyash uone ,utavyo pelekewa moto wa beberu mpaka uombe maji
 
Yemen rasmi wametangaza vita na Israel na wamewataka wakazi wote wa Tel Aviv kulihama hilo jiji la mashoga tel aviv, kwa kuwa lipo ndani ya uwezo wao kulibamiza na wameshaonesha hilo nara mbili tatu.

Wameendelea kusema kuwa "hauliwi Myemeni na yeyote yule duniani bila damu yake kulipwa, tupo tayari kupigana mpaka Myemeni wa mwisho kabisa duniani lakini ni lazima damu ya Myemeni ilipwe. Wasiolijuwa hilo, wasome historia.

Wayemeni wamekumbusha, mayahudi walipokosa pakuishi huko zamani, Yemeni ilikuwa nchi ya kwanza kihistoria kuwapokea, kuwapa makazi na kuwaweka huru kama raia mwenginebyeyote yule.

Leo hawa mashetani mazayuni wameleta fitnah kubwa duniani, haivumiliki".

Wanasema wana uwezo wa kubamiza popote ndani ya Israel na wameziweka wazi shabaha (targets) zao zote. Jionee 👇🏾

View: https://youtu.be/AZUhEUCjqYs?si=jdT6Q7kwaZl-IX8a

Ni aibu kwa mkongwe kama wewe kuweka sentensi za namna hiyo JF ambayo kimsingi majority ya members sasa hivi wana umri wa wajukuu zako. Ungeweza kuweka hoja yako vizuri tu bila kuweka emotions na generalization statements za namna hii!

Kuna mji au jiji dunia ya leo usio na mashoga?? Hata maka wapo
 
Huu mziki mkubwa sana utakua na faida kwa Urusi kwasababu sasa US atakomaa zaidi kumsaidia shoga yake Israel na kule Ukraine Urusi ni kushusha moto tu mashoga yote yakae chini
Angalia usije kuolewa na Putin
 
Vipi wale wa Tel Aviv umeona jinsi walivyouliwa leo kule North wakijaribu kuingia Lebanon?

Yale ni mabasha kabisa hamna kitu pale
Ile ni ambush na huwa inatokea sana kwenye medani za mapambano..
 
Mnazidi kudhihirosha ukondoo wenu. Aliewaita kondoo hajakosea.

Nani alikudanganya Wahouthi siyo Wayemeni?
Baadae mtaanza sema Israel Ina shambulia raia kama vile lraia sio wayemen na kwenye vita mmesema Yemen wamehalalisha vita
 
Waislamu mnapitia wakati mgumu sana aisee.

Na mlivyo watupu vichwani, mtaendelea kutandikwa sana mwaka huu.

Takbiiiiiiiir 🤣
Kati ya kondoo na mvaa kobazi nan hana akili?
Ukristo ndio dini pekee ya vituko ...kama saiv mnashobokea Israel mkiwa kanisa la nanjilinji huku wakristo wengine wakiandamana kuipinga Israel
Mnakataa ushoga alaf mnasapoti Israel ambayo ushoga kwao swafi tuh
 
Bikira 72 ni sehemu ya upuuzi wa kiislamu. Comed tupu.
 
Yemen rasmi wametangaza vita na Israel na wamewataka wakazi wote wa Tel Aviv kulihama hilo jiji la mashoga tel aviv, kwa kuwa lipo ndani ya uwezo wao kulibamiza na wameshaonesha hilo nara mbili tatu.

Wameendelea kusema kuwa "hauliwi Myemeni na yeyote yule duniani bila damu yake kulipwa, tupo tayari kupigana mpaka Myemeni wa mwisho kabisa duniani lakini ni lazima damu ya Myemeni ilipwe. Wasiolijuwa hilo, wasome historia.

Wayemeni wamekumbusha, mayahudi walipokosa pakuishi huko zamani, Yemeni ilikuwa nchi ya kwanza kihistoria kuwapokea, kuwapa makazi na kuwaweka huru kama raia mwenginebyeyote yule.

Leo hawa mashetani mazayuni wameleta fitnah kubwa duniani, haivumiliki".

Wanasema wana uwezo wa kubamiza popote ndani ya Israel na wameziweka wazi shabaha (targets) zao zote. Jionee 👇🏾

View: https://youtu.be/AZUhEUCjqYs?si=jdT6Q7kwaZl-IX8a

Jiheshim katika wakilisha hoja zako ,wewe mtu mkubwa hapa jf
 
Hao sio Yemen hao ni wahuthi ,kwa umri wako hujui hata kinachoendelea Yemen hadi leo nchi iliyogawanywa kati ya SUNN na shia , Saudi Arabia iksapoti Sunn na irani shia ambao ndio wahuthi . Shule ulikwenda kusoma ujinga wewe bibi

USSR
Akiwaga siku zake za ovulation ndio nyuzi anazozipenda.
 
Kwa mantiki hiyo hakuna nchi ambayo haijagawanyika hata sisi hapa Tanzania tumegawanyika labda kama huna akili vizuri .
Tamko la kundi fulani kwenye nchi lisitumike kuwakilisha nchi nzima na kama mnasimama na hiyo akili basi msibadilike pindi Israel akianzq jibu
 
Huu mziki mkubwa sana utakua na faida kwa Urusi kwasababu sasa US atakomaa zaidi kumsaidia shoga yake Israel na kule Ukraine Urusi ni kushusha moto tu mashoga yote yakae chini
Majimbo 54 yote ya USA yanajiweza achilia mbali Ulaya , Majimbo 10 yakijikiya Kwa Ukraine bas majimbo mengine ndan ya USA yanawezq endelea saidia Israel
 
Wahouth watata sana, hawa wamezaliwa kupigana vita kwao kufa sio issue sana.
Mnaandika hapa kuwasifu wahouth ila hamjui majibu yanawezq waathiri raia pia wa Yemen , muwe mnawaonea huruma waislam wenzenu
 
Kati ya kondoo na mvaa kobazi nan hana akili?
Ukristo ndio dini pekee ya vituko ...kama saiv mnashobokea Israel mkiwa kanisa la nanjilinji huku wakristo wengine wakiandamana kuipinga Israel
Mnakataa ushoga alaf mnasapoti Israel ambayo ushoga kwao swafi tuh
Tunamsapot Israel kwasabab ya matendo yenu machafu ambayo hata Allah hayataku , mnaua watu halaf mnasema mmeagizwa na mungu kuua watu , Sasa siku ya kyama ni ya nin kama watu wanahukumiwa Dunian?
UISLAM ni dini ya shetan ndio maana hawawazii kuhusu madhira yatakayowakuta waislam wenzao , wao wanawaza kuanzisha vita , waislam bila kuona damu bas hawaamin kama wanapoish ni pazuri , popote pale waislam wakiongezeka bas vita inafuatia
 
Faiza bhana, Israel kuitangazia vita NI kama Mzaramo kumtangazia kigodoro.
Hapo Israel kafikishwa sehemu yake anayoipenda na kuimudu.

Sasa subiri tuone Mkanda.
 
Tamko la kundi fulani kwenye nchi lisitumike kuwakilisha nchi nzima na kama mnasimama na hiyo akili basi msibadilike pindi Israel akianzq jibu
Kama hilo kundi ndio Linaunda serikali kauli yake ndio kauli ya nchi. Hata hapa Tanzania CCM ikisema uwe unataka au hutaki huo ndio msimamo wa nchi.
 
Back
Top Bottom