Rasmi: Yemen yatangaza vita na israel (Yemen Declares War with Israel)

Ayatollah tumemfuta duniani
 
Hivi kwanini wavaa kobazi mlichelewa kusoma? Hampendi Elimu dunia?
Alafu baadae utasikia makafiri wanapendeleana nafasi zote kubwa kubwa ni wakiristo sasa ulitaka uajiriwe kuwa daktari mkuu kwa kumaliza juzuu zako na Quran kila siku nawaeleza mjue kubalansi elimu dunia pia muhimu ndio kwanza hawasikii
 
Hao Houthi wakishatafuna Mirungi wanarusha makombora tu popote Wananchi wa Yemen wanashida kubwa ya Chakula na Madawa lakini Ayatolah anatuma makombora badala ya Chakula na Madawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…