Ratiba ya safari za ATCL kuelekea Chato Airport

Na ATCL Wana Booking office kabisa pale Chato nimewahi kuziona pale lakini mtu anatema nyongo hapa kuwa uwanja umegeuzwa kuanikia mpunga.
Wabongo wanafika sana.
Kuwa na ofisi siyo tatizo Mkuu, shirika linaendeshwa na fedha zinazotoka kwingine, wafanyakazi watalipwa tu vizuri
 
Hilo liko wazi, ni bayana zaidi pale utakapofika Chato na kujionea kwa macho kile kilichokuwa kinatekelezwa. Kijiji cha Chato kuwa na ofisi na miundombinu ambayo baadhi ya mikoa hawana.

Kila hila ina uzuri na ubaya wake. Kwa uwanja wa Chato kuna manufaa kwa mikoa iliyosahaulika kama Kigoma.
 
Vile tunaforce safari za Chato ili kumfurahisha mwendakuzimu aliopo kuzimu😁😁😁
Your browser is not able to display this video.
 
Jamani route ya chato ipo mara tatu kwa wiki..na wasafiri wengi wani wafanya biasharabwa mganza..wafanyakazia wa chato.biharamulo..ngara..katoro..busereser..Runzewe..nadhani kupanua maendeleo maemeo ya pembezone ni jambo jema..si viUei kuwa na vitu vizuri kama VETA,,vyuo,,barabara Rami
.hospital nzuri kuwa makao makuu ya mikoa kama wengi wanavyopenda..Hayo ni mawazo ya kizamani kwani kila mtanzania anatakiwa kuwa na huduma zote muhimu kila sehemu ya nchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…