Ratiba yako ya Chakula cha Ijumaa Kuu ikoje?

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,107
Reaction score
160,001
Miongoni mwa stressful days hasa likija swala la msosi ni leo.
Wakristo wengi hasa wa madhehebu ya Katoliki leo nyama ni marufuku.

Iwe kuku, kitimoto, mbuzi, ng'ombe, kondoo etc leo hawali kisu.

Mimi breakfast yangu naianza hivi.



Makande ya mahindi mabichi, sweet corn 🌽. Kisha mchana nitakula viazi vitamu vya Kisukuma . Yaani ni mwendo wa kukandamiza ma wanga tu.



Na jioni usiku ndio kizaa zaa, sijui niendeleze tena ulaji wa wanga? Maana msiba mzito sana huu.
 
Nselekea buchani
Leo vijana lazima wale maini rosti
 
Sisi wasabato hatuna huo msongo wa menu

Hapa ndiyo unapowashangaa wakatoliki fundisho la wanadamu la kutokula nyama eti wanakumbuka mateso ya Yesu wanalishika kweli lakini mafundisho ya biblia neno la Mungu wanayakataa waambie hbr ya Sabato, kutokuabudu sanamu, kuomba kwa Maria, kutubu kwa mapadri hakuelewi kbs
 
Nakula vizuri tu, na sina cha Ijumaa Kuu wala nini
Basi karibia maeneo yetu.
Nitakuelekea namna ya kufika centre kisha ntakushauri ukamate nzi mmoja mtikiseee kisha muachie, atafuata harufu ya mdudu fuata uelekeo huo utakuta rosted na fried one.

Haya mambo ya Ijumaa kutokula nyama ni kuipindua Bible juu chini. Yeye alisema chinjeni mwanakondoo tena msimvunje mifupa wakati mnamla

Karibuuu
 
Jirani nipo getini hapa nifunguli nij nile
 
True nayapinga kabisa
 
Msabato umekuja kujambia uzi, hapa ni chakula mkuu mambo ya Maria na misalaba ya sabato yanatoka wapi
.
Ila wasabato daaah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…