Miongoni mwa stressful days hasa likija swala la msosi ni leo.
Wakristo wengi hasa wa madhehebu ya Katoliki leo nyama ni marufuku.
Iwe kuku, kitimoto, mbuzi, ng'ombe, kondoo etc leo hawali kisu.
Mimi breakfast yangu naianza hivi.
View attachment 2579313
Makande ya mahindi mabichi, sweet corn 🌽. Kisha mchana nitakula viazi vitamu vya Kisukuma . Yaani ni mwendo wa kukandamiza ma wanga tu.
View attachment 2579315
Na jioni usiku ndio kizaa zaa, sijui niendeleze tena ulaji wa wanga? Maana msiba mzito sana huu.