Ratiba yako ya Chakula cha Ijumaa Kuu ikoje?

Hivi kwa nini watu huwa wanaacha kufwata Amri za Mungu,halafu ni rahisi kufywata za binadamu mwenzao?Aliyezariwa kupitia muunganiko wa tupu mbili, ya kike na ya kiume tena zinazopitisha uchafu,tukaacha kufata amri ya Mwenyezi Mungu aliyetakasika.

Kweli tunaitaji adhabu kali mbele ya Mungu
 
Umeona ehhh.
 
Kutokula nyama ijumaa tuwekee maandiko basi ili niache uchu wa kitimoto
 
Umeona ehhh.
Falao alipokuwa anajiita mungu na watu wake wanamuita mungu,siku moja Maraika jabrir au Gabrieli,alimtokea kwa umbo la binadamu,alipofika akagonga mlango,Falao akauliza nani unayegonga mlango?jibrir akauliza yaani wewe mungu unashindwa kujua anayegonga mlango?wakati Mungu anajua mpaka tunayowaza moyoni mwetu
 
Umaskini ndio tatizo siyo swala la ijumaa kuu.

Kwani mnakatazwa kula Samaki? Sato, Sangara, changu, kolekole, tasi, Jodari, Prawns and likes?

Bado kuna Dagaa wa Kigoma very nice one.
 
Kweli elimu yako kiimani ni ndogo,wewe ndiye ilibidi unipe kifungu kinachowakataza kula nyama leo
Kutoka 12:8
Watakula nyama yake usiku ule ule, imeokwa motoni, pamoja na mkate usiotiwa chachu; tena pamoja na mboga zenye uchungu.

Kutoka 12:9
Msiile mbichi, wala ya kutokoswa majini, bali imeokwa motoni; kichwa chake pamoja na miguu yake, na nyama zake za ndani.

Kutoka 12:10
Wala msisaze kitu chake cho chote hata asubuhi, bali kitu kitakachosalia hata asubuhi mtakichoma kwa moto.

Kutoka 12:11
Tena mtamla hivi; mtakuwa mmefungwa viuno vyenu, mmevaa viatu vyenu miguuni, na fimbo zenu mikononi mwenu; nanyi mtamla kwa haraka; ni pasaka ya BWANA.


Kutoka 12:21
Hapo ndipo Musa akawaita wazee wa Israeli, na kuwaambia, Nendeni, mkajitwalie wana-kondoo kama jamaa zenu zilivyo mkamchinje pasaka.
 
Kwa hiyo ndiyo inaingiliana na ijumaa kuu?
 
Umeulizwa swali dogo tu.Kama unakula au hauli.Hayo mengine endelea nayo tu.
 
Nimeanza na supu ya mbuzi...

Nasubiri salala chomaa hapaa iive huku nikipiga serengeti lager za baridi sana.
Karibu kingachi
 
Kwani wasabato wana pasaka😀😀....ninavyojua wasabato hawasherehekei krismasi wala pasaka kama madhehebu mengine ya wakristo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…