Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Hizo hadithi umezitoa wapi?Falao alipokuwa anajiita mungu na watu wake wanamuita mungu,siku moja Maraika jabrir au Gabrieli,alimtokea kwa umbo la binadamu,alipofika akagonga mlango,Falao akauliza nani unayegonga mlango?jibrir akauliza yaani wewe mungu unashindwa kujua anayegonga mlango?wakati Mungu anajua mpaka tunayowaza moyoni mwetu
Wasabato hua wako vzr kwny kuliponda kanisa katoliki,story zao new world order na kujiona wao ndio wanaoijua biblia kweli kweli.Sisi wasabato hatuna huo msongo wa menu
Hapa ndiyo unapowashangaa wakatoliki fundisho la wanadamu la kutokula nyama eti wanakumbuka mateso ya Yesu wanalishika kweli lakini mafundisho ya biblia neno la Mungu wanayakataa waambie hbr ya Sabato, kutokuabudu sanamu, kuomba kwa Maria, kutubu kwa mapadri hakuelewi kbs
Soma bwana ndugu yangu,Dunia ni kubwa na elimu ya Dini ya Mwenyezi Mungu ni kubwa,wako waliokuzidi zaidi yako na wako walionizidi zaidi yangu,Usibweteka kukaa sehemu moja ukajua umemaliza mambo ya MunguHizo hadithi umezitoa wapi?
Waache....wadogo zake Mungu hao.Msabato umekuja kujambia uzi, hapa ni chakula mkuu mambo ya Maria na misalaba ya sabato yanatoka wapi
.
Ila wasabato daaah
Kwa hiyo nisomesome tu kila kitu?Ungeweka ushahidi wa hizo hekaya zako zisomwe.Au ni siri yako?Soma bwana ndugu yangu,Dunia ni kubwa na elimu ya Dini ya Mwenyezi Mungu ni kubwa wako waliokuzidi zaidi yako na wako walionizidi zaidi yangu,Usibweteka kukaa sehemu moja ukajua umemaliza mambo ya Mungu
Fuata imani yako ndugu maana moyo wako ulipo ndipo imani yako ilipo,siyo kila mtu anaamriwa kutokula nyama ni yule anayeheshimu na kuzitii amri za Kanisa Katoliki tu.Hivi kwani ni kweli ijuma kuu haturuhusiwi kula nyama? Yaani mimi hapa nishamenya ndizi na nyama nimebandika jiolkoni sasa itakuaje
Pole sana,siyo kila kitu kiliandikwa kwenye vitabu vya Dini mfano Quruani,kwani tungeshindwa kubeba,vilivyoandikwa na vitu muhimu tu,Vingine kama hadithi vikabaki kwenye vitabu vya hadithi,Kwa hiyo nisomesome tu kila kitu?Ungeweka ushahidi wa hizo hekaya zako zisomwe.Au ni siri yako?
Huna jibu sahihi.Ujanjaujanja mwingi.Pole sana,siyo kila kitu kiliandikwa kwenye vitabu vya Dini mfano Quruani,kwani tungeshindwa kubeba,vilivyoandikwa na vitu muhimu tu,Vingine kama hadithi vikabaki kwenye vitabu vya hadithi,
Labda nikuulize,unalijua jina la Farao?
Mwendesha mashtaka wa Mungu naona upo kazini!Na wote hawaendi Mbunguni hadi watubu.
Yaani kuanzia Papa hadi mshika funguo za kanisa
Huwa mambo yao hayasikilizwi wala kufuatiliwa hadi wawe wanamtaja Papa na Ukatoliki.Zaidi ya hayo nani atapoteza muda kuwasikiliza?Mwendesha mashtaka wa Mungu naona upo kazini!
Yaani unavuta pumzi hii hii ya offer waliopewa unaowaita wana dhambi lakini unahukumu wengine?who are you mzee,u mtakatifu wewe?
Haha hah hebu ngoja tuulize menu za matajiri. Tajiri abubackry , Tajiri Kichwa , TAJIRI MKUU WA MATAJIRI, Tajiri la Bitcoin , tajiri Tajiri mkopeshaji , Tajiri mpole hebu njooni huku fastaUmaskini ndio tatizo siyo swala la ijumaa kuu.
Kwani mnakatazwa kula Samaki? Sato, Sangara, changu, kolekole, tasi, Jodari, Prawns and likes?
Bado kuna Dagaa wa Kigoma very nice one.
Duh, najisogeza pande hizoNimeanza na supu ya mbuzi...
Nasubiri salala chomaa hapaa iive huku nikipiga serengeti lager za baridi sana.
Karibu kingachi
Maharage na wali tosha kbsa kwa Leo asbuh nimeiga chapati mbili na chaiMiongoni mwa stressful days hasa likija swala la msosi ni leo.
Wakristo wengi hasa wa madhehebu ya Katoliki leo nyama ni marufuku.
Iwe kuku, kitimoto, mbuzi, ng'ombe, kondoo etc leo hawali kisu.
Mimi breakfast yangu naianza hivi.
View attachment 2579313
Makande ya mahindi mabichi, sweet corn 🌽. Kisha mchana nitakula viazi vitamu vya Kisukuma . Yaani ni mwendo wa kukandamiza ma wanga tu.
View attachment 2579315
Na jioni usiku ndio kizaa zaa, sijui niendeleze tena ulaji wa wanga? Maana msiba mzito sana huu.
Yes, niko Regent Estate Chato StreetUnaishi Mikocheni?
Bado hzo Ni vyakula vya nyamanyama kuacha kula nyama leo hatutakufa mm hata hao daga naogopa kuweka mdomoniUmaskini ndio tatizo siyo swala la ijumaa kuu.
Kwani mnakatazwa kula Samaki? Sato, Sangara, changu, kolekole, tasi, Jodari, Prawns and likes?
Bado kuna Dagaa wa Kigoma very nice one.
Unawezaje kutyoomb@ kwa kula kipande cha tikiti na kulalaThis is my breakfast. Asubuhi nakula mlo heavy, mchana napunguza, na jioni nakula kipande kidogo tu cha tikiti majiView attachment 2579321
Mi mtoto wa kike unataka nile chapati nane na supu ya ngombe na mtindi ahhh hayo siyaweziWatu wa dar, yaani hicho chakula unasema ni heavy? Yaani Mimi nikila hiki lazima nitafute cha kujazia
WakaribishwaNaomba nikualike kama hutojali..
Ndio nawezaUnawezaje kutyoomb@ kwa kula kipande cha tikiti na kulala