Ratiba yako ya Chakula cha Ijumaa Kuu ikoje?

Msabato umekuja kujambia uzi, hapa ni chakula mkuu mambo ya Maria na misalaba ya sabato yanatoka wapi
.
Ila wasabato daaah
Wasabato wengi wanadhani kushika Sabato ndio kwenda peponi huku wanazini wengine mashoga wengine wachawi wengine ni wezi nk.
Wao wanaona dhambi ni kutoshika Sabato tu nawaona wajinga wa kiwango cha SGR.
 
Nimepiga mchemsho kuku na mchana naenda kula bundi (kuku) tena.
 

Ushaambiwa hakuna mkatoliki anayeabudu sanamu, hivi nyie wasabato akili zenu mbona fupi hivyo?
Sanamu na picha kuwepo kanisani haimaanishi zinaabudiwa!
Hakuna mtu anayetubu kwa Padri, kwa nini mnapotosha uhalisia ili muonekane nyie mko sahihi?
Infact wasabato kuna mengi mnayasema na kujifanya mnayajua kuhusu ukatoliki lakini hamna lolote mnalolijua, zaidi ya kuhangaika na jambo moja tu la siku ya sabato!
 

Ijumaa kuu ni pasaka?
 
Asubuhi supu ya ng'ombe na chapati
Mchana ugali na nyama ya mbuzi choma
Usiku chips na mishkaki ya mkia wa kondoo
 
Aaah basi kumbe mimi hainihusu, asante dear
 
Hujui
 
Hujui kitu kuhusu wakatoliki wew
 
Konyagi wine na BBQ
 
Nimepiga mchemsho kuku na mchana naenda kula bundi (kuku) tena.
Tualikane mkuu watu mara ya mwisho kula kuku ilikuwa 2020 tena sina uhskiks kama ni huo mwaka😁
 
Reactions: EEX
Umeshikiliwa ukaambiwa ufwate hiyo amri?
 
Sasa hii ya Wakatoliki wewe inakutesa nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…