Ratiba za CAF huwa zinapangwa kabla, hizi draw ni kiini macho tu

SAYVILLE

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2010
Posts
7,895
Reaction score
12,975
Mimi huwa napenda kuobserve sana mambo, kwa hiyo mtanisamehe nikiwa naleta hoja ninazoitaga "hoja fukunyuku".

Mechi ya kwanza lazima wangetaka iwepo Al Alhy au Wydad.

Nimeedit huu uzi baada ya kurudi tena kuiangalia video ya draw baada tu ya kufungua huu uzi. Kuna vitu kadhaa nimeviona, angalia post #5 hapo chini.
 
Sasa fikiria kama Simba iliwekwa kwende draw, ingekuwaje kama draw ya kwanza ingechukuliwa timu nyingine kwenye pot yake? Je ingekuwaje kama bakuli la mwisho ingesema Simba anacheza robo fainali ya 4 wakati tayari ilishajulikana inacheza kwenye mechi ya ufunguzi?
Kuwa Match 1, Match 2, Match 3 au Match 4 haimaanishi ni mechi itakayoanza hadi itakayomalizika. Simba vs Ahly ingeweza kuwa Match 3 lakini bado ingebaki kuwa ya kwanza maana Simba ilishapangwa kufungua michuano. Ni coincidence tu
 
Nimeangalia tena baada ya kuleta uzi nimegundua ball ya Simba ilikuwa tayari na rangi tofauti ili yule dada aichague hiyo na pia kwenye bakuli la mwisho la kujua ni robo fainali ipi ya Simba nalo pia ball ya robo fainali ya kwanza ilikuwa na rangi tofauti ili Gyan aichague hiyo. Nimeelewa walifanya hivyo kwa sababu tayari Simba ilishajulikana kuwa itacheza kwenye QF ya kwanza kwa hiyo kimsingi nilikuwa sahihi.

Walinichanganya walivyoifanya kama vile ni draw ambayo chochote kingeweza kuchaguliwa kwenye ile hatua ya kwanza.
 
Kinachoangaliwa zaidi hapo ni pesa
 
We ulitakaje!?
CAF wanazithamini sana Morocco na Misri, wanajua mechi ya kwanza ingekuwa ya Simba vs Esperance au Simba vs Mamelodi labda ingepoteza mvuto fulani ingawa mechi ya Simba vs. Mamelodi ingekuwa nzuri sana.

Mamelodi hawana mashabiki wengi huko kwao na Esperance haina profile kama ya Wydad au Al Ahly kwa hiyo nadhani CAF walipendelea Al Ahly au Wydad awepo siku ya ufunguzi kucheza na Simba.
 
Si mnaimba kila siku nyinyi ni wakubwa? haya kuleni chuma hicho.
 
Uko sahihi,Bongo Kwa hamsha hamsha hatujambo
 
Si mnaimba kila siku nyinyi ni wakubwa? haya kuleni chuma hicho.
Aahaaaa,wanataka ukubwa na msuri hawana
Namuamini sana Robertinho, mzee wa objective football. Ngojeni muone mpira wa kikubwa unavyopigwa.

Tunampiga Al Ahly halafu nusu fainali tunampiga Mamelodi (hii itakuwa classic) halafu fainali tunaenda kulipiza kisasi kwa Wydad ingawa nina wasiwasi TP Mazembe anaweza kushangaza pia kwenye mashindano haya kwa kufika fainali.
 
All the best
 
Unakunywa nini?
 
Nimeangalia tena baada ya kuleta uzi nimegundua ball ya Simba ilikuwa tayari na rangi tofauti ili yule dada aichague hiyo na pia kwenye bakuli la mwisho la kujua ni robo fainali ipi ya Simba nalo pia ball ya robo fainali ya kwanza ilikuwa na rangi tofauti ili Gyan aichague hiyo. Nimeelewa walifanya hivyo kwa sababu tayari Simba ilishajulikana kuwa itacheza kwenye QF ya kwanza kwa hiyo kimsingi nilikuwa sahihi.

Walinichanganya walivyoifanya kama vile ni draw ambayo chochote kingeweza kuchaguliwa kwenye ile hatua ya kwanza.
Mbona kama umeingiwa na hofu!! Si tulikubaliana simba ni timu kubwa!! Au nasema uongo!!
 
Mimi nimefurahi kuwaona Enyimba kwenye supercup...nimewamiss sana hawa wababe wa zamani
 
Back
Top Bottom