Ratiba za CAF huwa zinapangwa kabla, hizi draw ni kiini macho tu

Ratiba za CAF huwa zinapangwa kabla, hizi draw ni kiini macho tu

Wanigeria si watu wa kuwaamini sana wanaweza kuleta vitu vya ajabu hautaamini macho yako. TP Mazembe ndiyo wanaweza kusumbua.

Enyimba tajiri wao alifariki.. toka hapo haina hela za kusajili wachezaji wazuri.. wanaishi kwa michango ya wanachama tu.

Super cup wamealikwa sababu Enyimba ni Brand na ndio timu yenye mafanikio kuliko zote west africa.

Ni kama TP Mazembe tu. Nao timu yao mbovu ili wamealikwa super cup sababu ni Brand
 
Enyimba tajiri wao alifariki.. toka hapo haina hela za kusajili wababe.. wanaishi kwa michango ya wanachama tu.

Super cup wamealikwa sababu Enyimba ni Brand na ndio timu yenye mafanikio kuliko zote west africa.

Ni kama TP Mazembe tu. Nao timu yao mbovu ili wamealikwa super cup sababu ni Brand
Nasema hivyo kwa sababu timu zote zimepewa pesa ya kutosha kufanya usajili na maandalizi ila naamini TP Mazembe ndiyo watakuwa wamefanya usajili na maandalizi ya kweli kuliko hao wanaigeria. Ngoja utasikia na kuona mashindano yatakapoanza.
 
Enyimba kwenye klabu bingwa tayari wameshatolewa round ya kwanza mapema tu.

Sijui labda uwepo wa KANU kama utaleta hamasa.
Si unaona ninachosema sasa. Sijawahi kuwaona Wanigeria wakiwa serious hata timu yao ya taifa, wana mapuuza mengi

Screen Shot 2023-09-02 at 10.39.09 PM.png

Screen Shot 2023-09-02 at 10.40.03 PM.png
 
Namuamini sana Robertinho, mzee wa objective football. Ngojeni muone mpira wa kikubwa unavyopigwa.

Tunampiga Al Ahly halafu nusu fainali tunampiga Mamelodi (hii itakuwa classic) halafu fainali tunaenda kulipiza kisasi kwa Wydad ingawa nina wasiwasi TP Mazembe anaweza kushangaza pia kwenye mashindano haya kwa kufika fainali.
Kama ndio hivi kuna haja gani ya kucheza una rahisisha sana mambo!
 
Enyimba tajiri wao alifariki.. toka hapo haina hela za kusajili wachezaji wazuri.. wanaishi kwa michango ya wanachama tu.

Super cup wamealikwa sababu Enyimba ni Brand na ndio timu yenye mafanikio kuliko zote west africa.

Ni kama TP Mazembe tu. Nao timu yao mbovu ili wamealikwa super cup sababu ni Brand
Na brand inapatikana vipi?Mbona Ihefu na nyuma mwiko wana struggle sana kuwa brand.Tupe siri ya kuwa brand!!!Ni kwa kelele tu za wachambuzi na maafisa habari?
 
Nilichopenda katika hii DRAW ,wamepanga wale wapinzani au timu zile ambazo zikikutana mechi inakua ya upinzani haswa

Simba sc vs al ahly
Tp mazembe vs esperance
Mamelod vs luanda
 
Mimi huwa napenda kuobserve sana mambo, kwa hiyo mtanisamehe nikiwa naleta hoja ninazoitaga "hoja fukunyuku".

Mechi ya kwanza lazima wangetaka iwepo Al Alhy au Wydad.

Nimeedit huu uzi baada ya kurudi tena kuiangalia video ya draw baada tu ya kufungua huu uzi. Kuna vitu kadhaa nimeviona, angalia post #5 hapo chini.
Wameangalia zile mechi ambazo timu zikikutana zinakua na upinzani nje na ndani ya uwanja...na kuwapa Simba mechi na al alhy ktk ufunguzi ni namna hivi vilabu vilivyona mashabiki wengi ktk social media na ndio maana utaona hata caf watapost zaidi mechi ya simba na al ahly ktk kupromot mashindano

Tp mazembe vs Esperanca ( hawa wapinzani haswa wakikutanaga )

Mamelod vs Luanda ( hawa nao kila wanapokutana mamelodi anakufa )

Simba sc vs al alhy ( hawa ni wapinzani ktk afrika )
 
Simba awe na upinzani na Al Ahaly vichekesho kama hivi unabonyeza ngapi?😀😀
 
Kheee si huwa mnasema hao ni wakubwa wenzenu wajameeniiiii.... Kwani Kuna shida Simba kuchukuliwq na kupewa Al Ahly waaaaah.
 
Back
Top Bottom