Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Hahahaha,nisamehe mkubwa ,nisamehe sana,Hebu acha kuwa mtoto hapo kibonde anajulikana upinzani wakufungwq gori 5-0?.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha,nisamehe mkubwa ,nisamehe sana,Hebu acha kuwa mtoto hapo kibonde anajulikana upinzani wakufungwq gori 5-0?.
Kwa hiyo nyuma mwiko aliyefungwa goli 6, goli 5 na goli 4 sio mpinzani wa Mnyama?Andikeni kwa mifano.Tujue leo kwamba ukiwa umefungwa 5 basi wewe sio mpinzani tena.Hebu acha kuwa mtoto hapo kibonde anajulikana upinzani wakufungwq gori 5-0?.
Kitendo Cha kupanga vibonde Simba kufungua mashindano na timu Kali ya Al Ahly ni udhalilishaji mkubwa maana Simba itapigwa kama Ngoma Ili kuipa sifa Al Ahly! Save my comment!CAF wanazithamini sana Morocco na Misri, wanajua mechi ya kwanza ingekuwa ya Simba vs Esperance au Simba vs Mamelodi labda ingepoteza mvuto fulani ingawa mechi ya Simba vs. Mamelodi ingekuwa nzuri sana.
Mamelodi hawana mashabiki wengi huko kwao na Esperance haina profile kama ya Wydad au Al Ahly kwa hiyo nadhani CAF walipendelea Al Ahly au Wydad awepo siku ya ufunguzi kucheza na Simba.
Wewe ni gongowazi wale makuli kundi alilolisema Manara.Bisha mpaka ufe.Na kwa mtaa unaoishi sishangai.Kitendo Cha kupanga vibonde Simba kufungua mashindano na timu Kali ya Al Ahly ni udhalilishaji mkubwa maana Simba itapigwa kama Ngoma Ili kuipa sifa Al Ahly! Save my comment!
Mechi za Simba ni mbili tu haooo wanafurushwa mashindanoni na kuacha wanaume wakiendelea kuumana!
Mi nawasubiri makolo papatu papatu Mbumbumbu fc wakishakandwa na Al Ahly 12 - 0 waje kushtaki maskani kwangu Buza Kwa Mpalanger waseme kuwa Al Ahly walichezesha mamluki kina Naymar, Ronaldo na Benzema!
Kawaida Simba huanza ligi zote kwa kelele kubwa halafu hunyamazishwa na mavuvuzela yao kutupwa dampo!
[emoji99] amka, achana na hizi ndoto.Namuamini sana Robertinho, mzee wa objective football. Ngojeni muone mpira wa kikubwa unavyopigwa.
Tunampiga Al Ahly halafu nusu fainali tunampiga Mamelodi (hii itakuwa classic) halafu fainali tunaenda kulipiza kisasi kwa Wydad ingawa nina wasiwasi TP Mazembe anaweza kushangaza pia kwenye mashindano haya kwa kufika fainali.