Kuwa Match 1, Match 2, Match 3 au Match 4 haimaanishi ni mechi itakayoanza hadi itakayomalizika. Simba vs Ahly ingeweza kuwa Match 3 lakini bado ingebaki kuwa ya kwanza maana Simba ilishapangwa kufungua michuano. Ni coincidence tuSasa fikiria kama Simba iliwekwa kwende draw, ingekuwaje kama draw ya kwanza ingechukuliwa timu nyingine kwenye pot yake? Je ingekuwaje kama bakuli la mwisho ingesema Simba anacheza robo fainali ya 4 wakati tayari ilishajulikana inacheza kwenye mechi ya ufunguzi?
Mbona umepata taharuki? Huko si ndio kwa wakubwa?Mimi huwa napenda kuobserve sana mambo, kwa hiyo mtanisamehe nikiwa naleta hoja ninazoitaga "hoja fukunyuku".
Mechi ya kwanza lazima wangetaka iwepo Al Alhy au Wydad.
Nimeangalia tena baada ya kuleta uzi nimegundua ball ya Simba ilikuwa tayari na rangi tofauti ili yule dada aichague hiyo na pia kwenye bakuli la mwisho la kujua ni robo fainali ipi ya Simba nalo pia ball ya robo fainali ya kwanza ilikuwa na rangi tofauti ili Gyan aichague hiyo. Nimeelewa walifanya hivyo kwa sababu tayari Simba ilishajulikana kuwa itacheza kwenye QF ya kwanza kwa hiyo kimsingi nilikuwa sahihi.Kuwa Match 1, Match 2, Match 3 au Match 4 haimaanishi ni mechi itakayoanza hadi itakayomalizika. Simba vs Ahly ingeweza kuwa Match 3 lakini bado ingebaki kuwa ya kwanza maana Simba ilishapangwa kufungua michuano. Ni coincidence tu
We ulitakaje!?Mimi huwa napenda kuobserve sana mambo, kwa hiyo mtanisamehe nikiwa naleta hoja ninazoitaga "hoja fukunyuku".
Mechi ya kwanza lazima wangetaka iwepo Al Alhy au Wydad.
Kinachoangaliwa zaidi hapo ni pesaNimeangalia tena baada ya kuleta uzi nimegundua ball ya Simba ilikuwa tayari na rangi tofauti ili yule dada aichague hiyo na pia kwenye bakuli la mwisho la kujua ni robo fainali ipi ya Simba nalo pia ball ya robo fainali ya kwanza ilikuwa na rangi tofauti ili Gyan aichague hiyo. Nimeelewa walifanya hivyo kwa sababu tayari Simba ilishajulikana kuwa itacheza kwenye QF ya kwanza kwa hiyo kimsingi nilikuwa sahihi.
Walinichanganya walivyoifanya kama vile ni draw ambayo chochote kingeweza kuchaguliwa kwenye ile hatua ya kwanza.
CAF wanazithamini sana Morocco na Misri, wanajua mechi ya kwanza ingekuwa ya Simba vs Esperance au Simba vs Mamelodi labda ingepoteza mvuto fulani ingawa mechi ya Simba vs. Mamelodi ingekuwa nzuri sana.We ulitakaje!?
Si mnaimba kila siku nyinyi ni wakubwa? haya kuleni chuma hicho.CAF wanazithamini sana Morocco na Misri, wanajua mechi ya kwanza ingekuwa ya Simba vs Esperance au Simba vs Mamelodi labda ingepoteza mvuto fulani ingawa mechi ya Simba vs. Mamelodi ingekuwa nzuri sana.
Mamelodi hawana mashabiki wengi huko kwao na Esperance haina profile kama ya Wydad au Al Ahly kwa hiyo nadhani CAF walipendelea Al Ahly au Wydad awepo siku ya ufunguzi kucheza na Simba.
Uko sahihi,Bongo Kwa hamsha hamsha hatujamboCAF wanazithamini sana Morocco na Misri, wanajua mechi ya kwanza ingekuwa ya Simba vs Esperance au Simba vs Mamelodi labda ingepoteza mvuto fulani ingawa mechi ya Simba vs. Mamelodi ingekuwa nzuri sana.
Mamelodi hawana mashabiki wengi huko kwao na Esperance haina profile kama ya Wydad au Al Ahly kwa hiyo nadhani CAF walipendelea Al Ahly au Wydad awepo siku ya ufunguzi kucheza na Simba.
Aahaaaa,wanataka ukubwa na msuri hawanaSi mnaimba kila siku nyinyi ni wakubwa? haya kuleni chuma hicho.
Ukubwa tunao, na ndo maana tuko ktk michuano ambayo nyie na wababe wenu USMA hawapo.Si mnaimba kila siku nyinyi ni wakubwa? haya kuleni chuma hicho.
Si mnaimba kila siku nyinyi ni wakubwa? haya kuleni chuma hicho.
Namuamini sana Robertinho, mzee wa objective football. Ngojeni muone mpira wa kikubwa unavyopigwa.Aahaaaa,wanataka ukubwa na msuri hawana
Nje na ndani au ?Tutawapiga kama ngoma
All the bestNamuamini sana Robertinho, mzee wa objective football. Ngojeni muone mpira wa kikubwa unavyopigwa.
Tunampiga Al Ahly halafu nusu fainali tunampiga Mamelodi (hii itakuwa classic) halafu fainali tunaenda kulipiza kisasi kwa Wydad ingawa nina wasiwasi TP Mazembe anaweza kushangaza pia kwenye mashindano haya kwa kufika fainali.
Unakunywa nini?Namuamini sana Robertinho, mzee wa objective football. Ngojeni muone mpira wa kikubwa unavyopigwa.
Tunampiga Al Ahly halafu nusu fainali tunampiga Mamelodi (hii itakuwa classic) halafu fainali tunaenda kulipiza kisasi kwa Wydad ingawa nina wasiwasi TP Mazembe anaweza kushangaza pia kwenye mashindano haya kwa kufika fainali.
huku nasikia ASAS haipoSi mnaimba kila siku nyinyi ni wakubwa? haya kuleni chuma hicho.
Mbona kama umeingiwa na hofu!! Si tulikubaliana simba ni timu kubwa!! Au nasema uongo!!Nimeangalia tena baada ya kuleta uzi nimegundua ball ya Simba ilikuwa tayari na rangi tofauti ili yule dada aichague hiyo na pia kwenye bakuli la mwisho la kujua ni robo fainali ipi ya Simba nalo pia ball ya robo fainali ya kwanza ilikuwa na rangi tofauti ili Gyan aichague hiyo. Nimeelewa walifanya hivyo kwa sababu tayari Simba ilishajulikana kuwa itacheza kwenye QF ya kwanza kwa hiyo kimsingi nilikuwa sahihi.
Walinichanganya walivyoifanya kama vile ni draw ambayo chochote kingeweza kuchaguliwa kwenye ile hatua ya kwanza.