Ratiba za CAF huwa zinapangwa kabla, hizi draw ni kiini macho tu

Wanigeria si watu wa kuwaamini sana wanaweza kuleta vitu vya ajabu hautaamini macho yako. TP Mazembe ndiyo wanaweza kusumbua.

Enyimba tajiri wao alifariki.. toka hapo haina hela za kusajili wachezaji wazuri.. wanaishi kwa michango ya wanachama tu.

Super cup wamealikwa sababu Enyimba ni Brand na ndio timu yenye mafanikio kuliko zote west africa.

Ni kama TP Mazembe tu. Nao timu yao mbovu ili wamealikwa super cup sababu ni Brand
 
Nasema hivyo kwa sababu timu zote zimepewa pesa ya kutosha kufanya usajili na maandalizi ila naamini TP Mazembe ndiyo watakuwa wamefanya usajili na maandalizi ya kweli kuliko hao wanaigeria. Ngoja utasikia na kuona mashindano yatakapoanza.
 
Enyimba kwenye klabu bingwa tayari wameshatolewa round ya kwanza mapema tu.

Sijui labda uwepo wa KANU kama utaleta hamasa.
Si unaona ninachosema sasa. Sijawahi kuwaona Wanigeria wakiwa serious hata timu yao ya taifa, wana mapuuza mengi


 
Kama ndio hivi kuna haja gani ya kucheza una rahisisha sana mambo!
 
Na brand inapatikana vipi?Mbona Ihefu na nyuma mwiko wana struggle sana kuwa brand.Tupe siri ya kuwa brand!!!Ni kwa kelele tu za wachambuzi na maafisa habari?
 
Nilichopenda katika hii DRAW ,wamepanga wale wapinzani au timu zile ambazo zikikutana mechi inakua ya upinzani haswa

Simba sc vs al ahly
Tp mazembe vs esperance
Mamelod vs luanda
 
Wameangalia zile mechi ambazo timu zikikutana zinakua na upinzani nje na ndani ya uwanja...na kuwapa Simba mechi na al alhy ktk ufunguzi ni namna hivi vilabu vilivyona mashabiki wengi ktk social media na ndio maana utaona hata caf watapost zaidi mechi ya simba na al ahly ktk kupromot mashindano

Tp mazembe vs Esperanca ( hawa wapinzani haswa wakikutanaga )

Mamelod vs Luanda ( hawa nao kila wanapokutana mamelodi anakufa )

Simba sc vs al alhy ( hawa ni wapinzani ktk afrika )
 
Simba awe na upinzani na Al Ahaly vichekesho kama hivi unabonyeza ngapi?πŸ˜€πŸ˜€
 
Kheee si huwa mnasema hao ni wakubwa wenzenu wajameeniiiii.... Kwani Kuna shida Simba kuchukuliwq na kupewa Al Ahly waaaaah.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…