Ratiba za CAF huwa zinapangwa kabla, hizi draw ni kiini macho tu

Hebu acha kuwa mtoto hapo kibonde anajulikana upinzani wakufungwq gori 5-0?.
Kwa hiyo nyuma mwiko aliyefungwa goli 6, goli 5 na goli 4 sio mpinzani wa Mnyama?Andikeni kwa mifano.Tujue leo kwamba ukiwa umefungwa 5 basi wewe sio mpinzani tena.
 
Kitendo Cha kupanga vibonde Simba kufungua mashindano na timu Kali ya Al Ahly ni udhalilishaji mkubwa maana Simba itapigwa kama Ngoma Ili kuipa sifa Al Ahly! Save my comment!

Mechi za Simba ni mbili tu haooo wanafurushwa mashindanoni na kuacha wanaume wakiendelea kuumana!

Mi nawasubiri makolo papatu papatu Mbumbumbu fc wakishakandwa na Al Ahly 12 - 0 waje kushtaki maskani kwangu Buza Kwa Mpalanger waseme kuwa Al Ahly walichezesha mamluki kina Naymar, Ronaldo na Benzema!

Kawaida Simba huanza ligi zote kwa kelele kubwa halafu hunyamazishwa na mavuvuzela yao kutupwa dampo!
 
Wewe ni gongowazi wale makuli kundi alilolisema Manara.Bisha mpaka ufe.Na kwa mtaa unaoishi sishangai.
 
[emoji99] amka, achana na hizi ndoto.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Kwani yanga wao wanasemaje? Na simba mbona kama mmefyata mikia kupangwa na wazee wa kazi. Sasa mkavurunde mchekwe😂😂 yanga nao watasema ngoma imepangwa. Pira la bongo full vichekesho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…