Ray C amtembelea Rais Kikwete Ikulu jijini Dar, amshukuru kwa msaada wa matibabu!

Ray C amtembelea Rais Kikwete Ikulu jijini Dar, amshukuru kwa msaada wa matibabu!

Si kweli mbona alipelekwa nje na serikali kutibiwa na aliporudi pia alishukuru. Ila Ina lillahi wa ina lillahi rajun -(Kila chenye uhai kitaonja mauti)
 
Alipelekwa kwenye REHABILITATION CENTRE YA WAPI? Nasikia Cuba ndiyo kuna rehabilitation Centre babu kubwa.

Hata mimi nina matatizo kama hayo hayo ya ALCOHOLIC bila kupata alcohol kwenye blood siwezi kulala. Sijui nami naweza kupata msaada wa RAIS au mpaka niwe ceribrity.

I wish her a speed recovery ila nasikia ukishaonja haya madawa ni kama nyama ya BINADAMU inakuwa vigumu kuacha. Inabidi awe kwenye CLOSE SUPERVISION.
 
Duh bwana mkubwa nae kwa kupenda uma-harufu hajambo,yaani mateja woote wa nchi hii kamuona "kiuno bila mfupa" tu?,kama ni muungwana kiasi hicho si angefungua rehabilitation centre ili mateja wote wanufaike.
#unajua rc alikuwa mtu wa mkubwa!!
 
RAY C.jpg

View attachment 74493

wadau nina swali kidogo, vengu alipoumwa niliona mheshimiwa alienda kumuona na ray c nae pia vile vile, mbona mtu kama marehemu mzee kipara ambaye alisaidia sana kukitangaza chama cha mapinduzi katika maigizo kipindi hicho hakwenda kumtembelea au kumpa msaada wowote na alitangaza kwamba anaumwa au ndio upendeleo kwa vijana ,? Naona vsco da gama anavyofanya sio haki kabisa
 


mbona mtu kama marehemu mzee kipara ambaye alisaidia sana kukitangaza chama cha mapinduzi katika maigizo kipindi hicho hakwenda kumtembelea au kumpa msaada wowote na alitangaza kwamba anaumwa au ndio upendeleo kwa vijana ,? Naona vsco da gama anavyofanya sio haki kabisa
Mkuu tofautisha, Mzee kipara alikuwa wanaume wakati Ray C ni mwanamke.Kubwa zaidi Ray C ni msichana ambaye damu yake bado inachemka na pia ni mrembo!!!
 
Afya Njema Mnyalukolo Ray C. Asante JK kwa msaada Wako, ila waathrika wa Madawa ya Kulevya ni wengi naomba buni Mkakati Utakao waokoa wengi!
 
Afya Njema Mnyalukolo Ray C. Asante JK kwa msaada Wako, ila waathrika wa Madawa ya Kulevya ni wengi naomba buni Mkakati Utakao waokoa wengi!
 
Si kweli mbona alipelekwa nje na serikali kutibiwa na aliporudi pia alishukuru. Ila Ina lillahi wa ina lillahi rajun -(Kila chenye uhai kitaonja mauti)
Si kweli nini?
Nani alipelekwa nje na serikali ?
 
Kama kawa kama dawa, Jk ni MTU WA watu

JK namkubali ni mtu wa watu. Ningefurahi kama angemuokoa yule teja wa pale posta anayetangazia watu Ubungo-Posta-Feri huku akiwa amelala kwa kubwia!
 
Mwimbaji mashuhuri hapa Tanzania, Ray C, ametangaza kupona na matatizo ya yaliyokuwa yakimsumbua. Ametangaza hayo akiwa Ikulu baada ya kupata msaada mkubwa kutoka kwa Mh. Rais Kikwete.

attachment.php

RAY C AKIMSHUKURU RAIS KIKWETE

attachment.php


RAY C, MAMA YAKE NA DADA YAKE WAKIMSHUKURU RAIS KIKWETE

Hivi Ray C anamfahamu baba Mwanaisha vizuri? Shauri yake
 
kuwasaidia niliowasaidia ni pamoja na kutokusema kama nimewasaidia maana hainisaidii mimi wala huyo niliyemsaidia!
kama ameitoa personal kwanini ikulu itumike!kwanini vyombo vya habri vya kitaifa vitumike?kama watanzania unaowaaminisha hapa ni wenye akili za aina yako basi ni kweli zinachekesha sana!
sina tatizo na ray c kama mwathirika wa madawa ya kulevya!
anayenishangaza ni huyo anayetaka kutumia madhara makubwa kabisa wanayopata vijana kujitangaza!
hili ndilo tatizo langu!kama wewe bado hujaliona inategemea una uwanda upi wa kufikiri kwa kiwango chako cha hali ya juu kabisa!

sasa ulitaka akakutane na Rais Bar?? Acha hizo Ikulu ndo Ofisi yake kukutana na Ray si ubaya, na kutumika kwa Media coz yeye ni Mtu maarufu na Kiongozi wa Nchi kila analofanywa linaangaliwa so usiumie Roho ukitaka na wewe Nenda basi maana Inakuuma, Hongera JK ni mambo mazuri, sasa wale wauzaji wote weka Ukonga kabla ya 2015 utaweka Heshma
 
Wahehe tunaabika sana;unaugua kwa makusudi halafu unaomba msaada wa matibabu.mbona hajasema ataacha kubwia.
 
mh kazi za raisi wa tanzania bwana!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom