Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
#unajua rc alikuwa mtu wa mkubwa!!Duh bwana mkubwa nae kwa kupenda uma-harufu hajambo,yaani mateja woote wa nchi hii kamuona "kiuno bila mfupa" tu?,kama ni muungwana kiasi hicho si angefungua rehabilitation centre ili mateja wote wanufaike.
Betty Chalamila-Mkwasa.
MKUU WA WILAYA NA MAMA MDOGO WA RAY C.
Jaribu wewe kabwela usiye na ndugu kiongozi uone m

Mkuu tofautisha, Mzee kipara alikuwa wanaume wakati Ray C ni mwanamke.Kubwa zaidi Ray C ni msichana ambaye damu yake bado inachemka na pia ni mrembo!!!
mbona mtu kama marehemu mzee kipara ambaye alisaidia sana kukitangaza chama cha mapinduzi katika maigizo kipindi hicho hakwenda kumtembelea au kumpa msaada wowote na alitangaza kwamba anaumwa au ndio upendeleo kwa vijana ,? Naona vsco da gama anavyofanya sio haki kabisa
Si kweli nini?Si kweli mbona alipelekwa nje na serikali kutibiwa na aliporudi pia alishukuru. Ila Ina lillahi wa ina lillahi rajun -(Kila chenye uhai kitaonja mauti)
Kama kawa kama dawa, Jk ni MTU WA watu
Ndege utua mti aupendao!!Afya Njema Mnyalukolo Ray C. Asante JK kwa msaada Wako, ila waathrika wa Madawa ya Kulevya ni wengi naomba buni Mkakati Utakao waokoa wengi!
Mwimbaji mashuhuri hapa Tanzania, Ray C, ametangaza kupona na matatizo ya yaliyokuwa yakimsumbua. Ametangaza hayo akiwa Ikulu baada ya kupata msaada mkubwa kutoka kwa Mh. Rais Kikwete.
![]()
RAY C AKIMSHUKURU RAIS KIKWETE
![]()
RAY C, MAMA YAKE NA DADA YAKE WAKIMSHUKURU RAIS KIKWETE
kuwasaidia niliowasaidia ni pamoja na kutokusema kama nimewasaidia maana hainisaidii mimi wala huyo niliyemsaidia!
kama ameitoa personal kwanini ikulu itumike!kwanini vyombo vya habri vya kitaifa vitumike?kama watanzania unaowaaminisha hapa ni wenye akili za aina yako basi ni kweli zinachekesha sana!
sina tatizo na ray c kama mwathirika wa madawa ya kulevya!
anayenishangaza ni huyo anayetaka kutumia madhara makubwa kabisa wanayopata vijana kujitangaza!
hili ndilo tatizo langu!kama wewe bado hujaliona inategemea una uwanda upi wa kufikiri kwa kiwango chako cha hali ya juu kabisa!