Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
basi ray c alikua haumwi. Alikua ana tekeleza mpango wake kabambe wa kurudi juu.
REHAB ya mwezi!!!!!!!! Sijawahi kuona aise.
Ili igizo linaweza kumtoa
Mwimbaji mashuhuri hapa Tanzania, Ray C, ametangaza kupona na matatizo ya yaliyokuwa yakimsumbua. Ametangaza hayo akiwa Ikulu baada ya kupata msaada mkubwa kutoka kwa Mh. Rais Kikwete.
![]()
RAY C AKIMSHUKURU RAIS KIKWETE
![]()
RAY C, MAMA YAKE NA DADA YAKE WAKIMSHUKURU RAIS KIKWETE
kuna mtoto yupo pale Kariakoo mbele ya kituo cha Polisi cha Msimbazi.
Ana tatizo la kuvimba kichwa, yaani ukimuona tu utaingia na roho ya huruma papo hapo, na ni wazi kuwa wazazi wake hawana uwezo wa kumpeleka nje kwenda kufanyiwa uchunguzi na hata kupata matibabu.
Dah leo hii Mkuu unakwenda kulitibia jitu zima na akili zake kwa tatizo la kununua.
Mkuu nakuchukia sana, lakini kwa hili chuki yangu imezidi maradufu.
Wasalaam...
Gang Chomba..,
Siasa haikutenganishi na maisha ya kijamii,inaonekana ukibahatika kuwa mwanasiasa hata wakati wa kulala uatapanda na kaunda suti kitandani.Hii nayo ni siasa?