Ray C amtembelea Rais Kikwete Ikulu jijini Dar, amshukuru kwa msaada wa matibabu!

Mkuu century gothic kila neno linaweza likawa na tafsiri tofauti kulingana na sehemu linapo wekwa,
Hii comment nili hiweka wakati habari hii ilipokuwa kwenye jukwaa la siasa ambapo hapakuwa mahali sahihi kwa hii habari ndio maana hime hamishiwa chit-chat!
Siasa haikutenganishi na maisha ya kijamii,inaonekana ukibahatika kuwa mwanasiasa hata wakati wa kulala uatapanda na kaunda suti kitandani.
 
Last edited by a moderator:
Kama una taarifa zozote juu ya wauzaji wakubwa wa madawa ya kulevya zipeleke tume ya kupambana na biashara na matumizi ya madawa ya kulevya. Pale watazifanyia kazi kwa kuwafungulia mashtaka hao unawaongelea.
 
JK KUMSAIDIA RAY C NI VIZURI, BUT UNETHICAL

Ni vizuri kwa Rais Jakaya Kikwete amemsaidia Rehema Chalamila “Ray C” matibabu kutokana na addiction za madawa ya kulevya iwe kwa moyo au publicity. Nampenda Rehema ni dada mzuri, alikua ana tu intertain n.k.

Maoni yangu binafsi;

Tanzania kuna wagonjwa wengi ambao wapo mahospitalini na wengine wanavilema vya kuto kujitakia wanahitaji msaada. Raisi JK anajua hili na amewaona watu wanao hitaji misaada mahospitalini wengi ambao ni INNOCENT ila magonjwa tu yamewapa afya mbaya bila kujitakia. Hawana vyandarua, hawana vitanda, hawana madawa.

Ray C ni mtu mwenye akili timamu, alijiingiza kwenye madawa ya kulevya kwa hiari yake, iwe kwa influence ya marafiki, frustrations, au whatever. Nakubali ni celebrity na ni kioo cha jamii, ameshindwa kuwa kioo cha jamii at the first place ataweza kuwa kioo cha jamii sasa? Anasaidiwa sasa tuna uhakika gani hii tabia haita jirudia?
Binafsi, naona Raisi Jakaya Kikwete amecommit unethical act kwa wale wanao hitaji msaada kabla ya Ray C, wapo mahospitalini bila KUJITAKIA. Sioni sababu ya kusaidiwa yeye kabla ya watu wanao hitaji misaada mahospitalini. Sioni sababu ya kusaidiwa Ray C na kuweka kwenye vyombo vya habari kabla ya kutatua mgogoro wa madaktari ambao wanainfluence afya ya mtanzania na wagonjwa ambao wapo hospitalini kabla ya Ray C.

Muongozo:

Wamarecan wanafanya hivi; kama una hitaji organ transplant, unawekwa kwenye waiting list. Sasa basi, kama wewe uli haribu organs zako kwa ajili ya anasa, madawa, pombe na sigara, hawakuweki hata kwenye waiting list. Wanakuacha unakufa tu kwa kuwapa kipaumbele wale ambao hawakuabuse pombe, sigara n.k. Wanasema hivi tukimpa organ mpya “ATAENDA KUIHARIBU TENA” kwa hiyo inabidi awe wa mwisho kufikiriwa.

Kilicho fanyika:

Kama Tanzania tunge kuwa tuna organ waiting list, watu wanahitaji liver, heart, kidney, lungs n.k. Lets say kuna watu 1000 wanasubiri. Harafu Ray C analetwa na JK na anawekwa namba moja mbele ya watu 1000. Ingekuwa ni haki au ethical kwa sababu ni CELEBRITY? HILI NDILO LIMEFANYIKA HAPA KWA MTAZAMO WANGU. Na ni risk kumsaidia huyu mtu kwani anaweza kwenda ku BLOW organ hiyo tena.

Mwisho;

Ni mtazamo wangu na naamini wewe pia una wako. Tanzania imefika wakati tufanye mambo ki ethical na sio political.

GREAT THINKERS, LETS THINK ETHICAL-

Rehema Chalamila "Ray C" nakutakia afya njemba
 
Hawa wasanii wetu ni wapumbavu sana, wao wanaona kutumia bangi na madawa mengine ya kulevya ni fasheni. Inabidi sasa wakipata madhara wajuane na ndugu zao huko huko
 
Huyu JK anapata wapi hela zote hizo za kuwagawia mateja wakati watoto hawana madawati kijijini Komuge. Huu ni uzzaiff mkubwa
 
Kuna watoto wanatolewa itv kila leo wanaitaji msaada wa kutibiwa nje..ray c alitoroka rehab arusha,mama ake ana uwezo,ndugu zake wana uwezo,ni uongo kusema walishindwa gharama za kumtibia..sijawai ona kiongozi empty kama uyu.
 
Unataka rais amsaidie kila mtu?
"
Kama hapana unataka watu wa aina gani?
"
Kama unatoa mfano wa Wamarekani,unadhani wao ndo wapo sahihi zaidi?
"
Kama ndio kwa viwango gani?
"
Unajua kikwete amemsaidia Ray C kama rais au kama Jakaya Kikwete?
"
Unajua maana ya msaada?
 
Hivi ni kwa nini Jk mara nyingi hufanya vitu ambavyo ni rahisi kuwa challenged in the eyes of the public? kama vile kupiga picha na boys II men, kwenda sinza kwenye msiba wa kanumba, nk
 
Kama rais anatoa pesa yake mfukoni ni halali yake kufanya apendavyo isipokuwa hakuwa na haja ya kujitangaza maana hajapata kujitangaza pindi anapowasaidia ndugu zake huko Bagamoyo au Msoga.

Kwa vile rais kumsaidia Ray C ilifanywa kuwa habari na watu wa ikulu basi naamini msaada huo ni wa kiserikali. Hapa ndipo Dawa kuchanana tu anapojenga hoja yake....

Bahati mbaya hatuna miongozo ya taasisi yetu ya urais, ndio maana rais akienda kwenye harambee anasema "mimi na rafiki zangu tunachangia 50million"...Hao marafiki wa rais ni kina nani????
 
Last edited by a moderator:
JK KUMSAIDIA RAY C NI VIZURI, BUT UNETHICAL

Ni vizuri kwa Rais Jakaya Kikwete amemsaidia Rehema Chalamila “Ray C” matibabu kutokana na addiction za madawa ya kulevya iwe kwa moyo au publicity. Nampenda Rehema ni dada mzuri, alikua ana tu intertain n.k.

Maoni yangu binafsi;

Tanzania kuna wagonjwa wengi ambao wapo mahospitalini na wengine wanavilema vya kuto kujitakia wanahitaji msaada. Raisi JK anajua hili na amewaona watu wanao hitaji misaada mahospitalini wengi ambao ni INNOCENT ila magonjwa tu yamewapa afya mbaya bila kujitakia. Hawana vyandarua, hawana vitanda, hawana madawa.

Ray C ni mtu mwenye akili timamu, alijiingiza kwenye madawa ya kulevya kwa hiari yake, iwe kwa influence ya marafiki, frustrations, au whatever. Nakubali ni celebrity na ni kioo cha jamii, ameshindwa kuwa kioo cha jamii at the first place ataweza kuwa kioo cha jamii sasa? Anasaidiwa sasa tuna uhakika gani hii tabia haita jirudia?
Binafsi, naona Raisi Jakaya Kikwete amecommit unethical act kwa wale wanao hitaji msaada kabla ya Ray C, wapo mahospitalini bila KUJITAKIA. Sioni sababu ya kusaidiwa yeye kabla ya watu wanao hitaji misaada mahospitalini. Sioni sababu ya kusaidiwa Ray C na kuweka kwenye vyombo vya habari kabla ya kutatua mgogoro wa madaktari ambao wanainfluence afya ya mtanzania na wagonjwa ambao wapo hospitalini kabla ya Ray C.

Muongozo:

Wamarecan wanafanya hivi; kama una hitaji organ transplant, unawekwa kwenye waiting list. Sasa basi, kama wewe uli haribu organs zako kwa ajili ya anasa, madawa, pombe na sigara, hawakuweki hata kwenye waiting list. Wanakuacha unakufa tu kwa kuwapa kipaumbele wale ambao hawakuabuse pombe, sigara n.k. Wanasema hivi tukimpa organ mpya “ATAENDA KUIHARIBU TENA” kwa hiyo inabidi awe wa mwisho kufikiriwa.

Kilicho fanyika:

Kama Tanzania tunge kuwa tuna organ waiting list, watu wanahitaji liver, heart, kidney, lungs n.k. Lets say kuna watu 1000 wanasubiri. Harafu Ray C analetwa na JK na anawekwa namba moja mbele ya watu 1000. Ingekuwa ni haki au ethical kwa sababu ni CELEBRITY? HILI NDILO LIMEFANYIKA HAPA KWA MTAZAMO WANGU. Na ni risk kumsaidia huyu mtu kwani anaweza kwenda ku BLOW organ hiyo tena.

Mwisho;

Ni mtazamo wangu na naamini wewe pia una wako. Tanzania imefika wakati tufanye mambo ki ethical na sio political.

GREAT THINKERS, LETS THINK ETHICAL-

Rehema Chalamila "Ray C" nakutakia afya njemba

- Ulitakiwa kuwa na facts kwanza ni kwa nini JK amemsaidia Ray C kabla hujakurupuka na hukumu za kimitaani taani, JK ni binadam ana marafiki ana ndugu, Marahemu Baba Mkubwa wa Ray C amefanya kazi na JK mambo ya nje kwa muda mrefu sana kabla ya kufariki miaka michache iliypoita, sasa kwa nini JK asimsaidie mtoto wa Rafiki yake wa karibu aliyefanya kazi naye ka muda mrefu sana!

- Sometimes mnakuwa kama watoto wadogo flani hivi, sio kila ishu ni lazima museme ndio muonekane ni upinzani wa kweli, daaaamn!!

Es!
 
Mimi nadhani angefanya msaada mkubwa kama angepambana na kuhakikisha hakuna uingizwaji wa madawa ya kilevya nchini. Suppose huyo aliyesaidiwa arudi tena kwenye madawa atamsaidia tena? Solution ya kuwasaidia wote wanaoteseka kama Rais nadhani ni hiyo.
 
JK ni mwanamme na ray c ni mwanamke mrembo..what did you expect from the president with that decorated history with helping pretty women..so you thought you elected president!!!
 
JK KUMSAIDIA RAY C NI VIZURI, BUT UNETHICAL

Anajifariji kua bado anasaidia watanzania na siku moja utamsikia km si yeye bas mpambe yoyote akizungumzia jukwaan. Acha nisizungumze kuhusu yeye/wanaomhusu kwa karibu kuhusika ktk hii biashara coz sina ushahidi nalo,ila naeza kusema yeye anawalinda wanaosupply na kuharibu maelfu zaid ya Ray C ambao hawapat msaada kama huo kwakua alishasema anawafahamu wasambazaji but wanashugulikia kwa ubaguzi.
Zaid angepunguza anasa za serikali yake/na kupambana kwa dhati na ufisadi na kupeleka resources kwe huduma bora za afya angekua amefanya la maana zaid otherwise mi naona kitendo hichi ni sawa tu na kupiga picha na Steve Sieger. Hopeless
 
mimi nadhani angefanya msaada mkubwa kama angepambana na kuhakikisha hakuna uingizwaji wa madawa ya kilevya nchini. Suppose huyo aliyesaidiwa arudi tena kwenye madawa atamsaidia tena? Solution ya kuwasaidia wote wanaoteseka kama rais nadhani ni hiyo.

nafikiri hili ni sahihi zaidi! Aondoe chanzo ili aokoe macelebrity wetu!
 
- Ulitakiwa kuwa na facts kwanza ni kwa nini JK amemsaidia Ray C kabla hujakurupuka na hukumu za kimitaani taani, JK ni binadam ana marafiki ana ndugu, Marahemu Baba Mkubwa wa Ray C amefanya kazi na JK mambo ya nje kwa muda mrefu sana kabla ya kufariki miaka michache iliypoita, sasa kwa nini JK asimsaidie mtoto wa Rafiki yake wa karibu aliyefanya kazi naye ka muda mrefu sana!

- Sometimes mnakuwa kama watoto wadogo flani hivi, sio kila ishu ni lazima museme ndio muonekane ni upinzani wa kweli, daaaamn!!

Es!

So ts true Baba,Mama,Marafiki na Watoto?!sisi tusio na urafiki/baba zetu hawajafanya na JK tukafilie mbali?
Na kama hakutaka tuijadili picha na vyombo vya habar vyann?kwan issue ngap anafanyia ndan kifamilia na hamsikii mtu akisema?
 
- Ulitakiwa kuwa na facts kwanza ni kwa nini JK amemsaidia Ray C kabla hujakurupuka na hukumu za kimitaani taani, JK ni binadam ana marafiki ana ndugu, Marahemu Baba Mkubwa wa Ray C amefanya kazi na JK mambo ya nje kwa muda mrefu sana kabla ya kufariki miaka michache iliypoita, sasa kwa nini JK asimsaidie mtoto wa Rafiki yake wa karibu aliyefanya kazi naye ka muda mrefu sana!

- Sometimes mnakuwa kama watoto wadogo flani hivi, sio kila ishu ni lazima museme ndio muonekane ni upinzani wa kweli, daaaamn!!

Es!

Hapa wewe ndo unaonesha dhahiri utoto wako, suala la upinzani linaingiaje hapa? Kaka unashindwa hata kuzingatia mada inayozungumzwa unapata wapi uwezo wa kuwaona watu wanaotoa maoni yao kama watoto?

JK anaweza kumsaidia yeyote anayemtaka lakini mjomba hii haikuwa habari ya kupeleka kwenye magazeti na televisheni, sio lazima utetee kila kinachofanywa na ccm... hii kitu iko so clear kwamba jamaa wamechemka.

NB:
PUNGUZA JAZBA WAKATI WA KUCHANGIA MADA, UNAFUPISHA MAISHA YAKO KWA STRESS, DAAAAAAAAAAMN MWENYEWE BWANA.
 
Unajua kikwete amemsaidia Ray C kama rais au kama Jakaya Kikwete? Unajua maana ya msaada?

JK ni binadam ana marafiki ana ndugu, Marahemu Baba Mkubwa wa Ray C amefanya kazi na JK mambo ya nje kwa muda mrefu sana kabla ya kufariki miaka michache iliypoita, sasa kwa nini JK asimsaidie mtoto wa Rafiki yake wa karibu aliyefanya kazi naye ka muda mrefu sana!

Kama rais anatoa pesa yake mfukoni ni halali yake kufanya apendavyo isipokuwa hakuwa na haja ya kujitangaza maana hajapata kujitangaza pindi anapowasaidia ndugu zake huko Bagamoyo au Msoga.

Kwa vile rais kumsaidia Ray C ilifanywa kuwa habari na watu wa ikulu basi naamini msaada huo ni wa kiserikali.

Wananchi tutajuaje kwamba jambo hili rais wetu amefanya kama mtu binafsi na hili ametenda kama rais...nani atatufahamisha??? Kurugenzi ya mawasiliano au Habari maelezo???
 
Back
Top Bottom