Unataka rais amsaidie kila mtu?
"
Kama hapana unataka watu wa aina gani?
"
Kama unatoa mfano wa Wamarekani,unadhani wao ndo wapo sahihi zaidi?
"
Kama ndio kwa viwango gani?
"
Unajua kikwete amemsaidia Ray C kama rais au kama Jakaya Kikwete?
"
Unajua maana ya msaada?
- Ulitakiwa kuwa na facts kwanza ni kwa nini JK amemsaidia Ray C kabla hujakurupuka na hukumu za kimitaani taani, JK ni binadam ana marafiki ana ndugu, Marahemu Baba Mkubwa wa Ray C amefanya kazi na JK mambo ya nje kwa muda mrefu sana kabla ya kufariki miaka michache iliypoita,sasa kwa nini JK asimsaidie mtoto wa Rafiki yake wa karibu aliyefanya kazi naye ka muda mrefu sana!
- Sometimes mnakuwa kama watoto wadogo flani hivi, sio kila ishu ni lazima museme ndio muonekane ni upinzani wa kweli, daaaamn!!
Es!
- Ulitakiwa kuwa na facts kwanza ni kwa nini JK amemsaidia Ray C kabla hujakurupuka na hukumu za kimitaani taani, JK ni binadam ana marafiki ana ndugu, Marahemu Baba Mkubwa wa Ray C amefanya kazi na JK mambo ya nje kwa muda mrefu sana kabla ya kufariki miaka michache iliypoita, sasa kwa nini JK asimsaidie mtoto wa Rafiki yake wa karibu aliyefanya kazi naye ka muda mrefu sana!
- Sometimes mnakuwa kama watoto wadogo flani hivi, sio kila ishu ni lazima museme ndio muonekane ni upinzani wa kweli, daaaamn!!
Es!
So ts true Baba,Mama,Marafiki na Watoto?!sisi tusio na urafiki/baba zetu hawajafanya na JK tukafilie mbali?
Na kama hakutaka tuijadili picha na vyombo vya habar vyann?kwan issue ngap anafanyia ndan kifamilia na hamsikii mtu akisema?
- Ulitakiwa kuwa
na facts kwanza ni kwa nini JK amemsaidia Ray C kabla hujakurupuka na
hukumu za kimitaani taani, JK ni binadam ana marafiki ana ndugu,
Marahemu Baba Mkubwa wa Ray C amefanya kazi na JK mambo ya nje kwa muda
mrefu sana kabla ya kufariki miaka michache iliypoita, sasa kwa nini JK
asimsaidie mtoto wa Rafiki yake wa karibu aliyefanya kazi naye ka muda
mrefu sana!
- Sometimes mnakuwa kama watoto wadogo flani hivi, sio kila ishu ni
lazima museme ndio muonekane ni upinzani wa kweli, daaaamn!!
Es!
Kama ni mambo ya familia na urafiki kwanini Magazeti na mapicha tena ikulu? Na wewe ukisaidia mtoto wa rafiki yako utaita media?
Acha upuuzi ww , kwahiyo ndg wa aliofanyanao kazi wote ndo wakusaidiwa hata kama maabuser?
Nape eti kesho FMEs akimsaidia mwanao ataita media! Tena hii ya juzi ikulu ilitoa taarifa! Maana yake Ray C amesaidiwa na ikulu kama taasisi!
Kumpenda Mtanzania mwenzetu Ray C hakutuzuii kuhoji matumizi ya ikulu visivyo!
Tulipokuwa vijana, tuliona fahari sana kupiga picha na wanawake wazuri ili tuwatambie marafiki zetu kwamba ni wapenzi wetu.JK ni mwanamme na ray c ni mwanamke mrembo..what did you expect from the president with that decorated history with helping pretty women..so you thought you elected president!!!
- tunaona kipa imara kwenye media itakwua Rais kumsaidia mtoto wa Rafiki yake, swali ni kama ametumia hela za serikali au za kwake binafsi kitu ambacho hamjui so ni bora kunyamaza!!
Es
.Hapana mdau, mimi nadhani hapa kuna faida kubwa ya kumsaidia dada huyu ambaye kwa kweli ni kioo cha jamii.Alichofanya Mkuu wa Kaya naamini kinalenga kumfanya mwanadada huyu kuwa balozi mzuri wa kuelezea madhara ya wazi yanayotokana na utumiaji wa madawa ya kulevya kwa yeye mwenyewe amekumbana nayo,na jamii inajua hivyo.Na kwa kuzingatia kipaji cha hali juu cha uimbaji alichonacho mwanamama,itakuwa ni rahisi sana kwake kutumia jukwaa la sanaa ya muziki katika kupiga vita utumiaji wa unga na hivyo vijana wengi ambo ni wadau wakubwa wa athari hizo na ambao pia ni wadau wakubwa sana wa muziki,kupata elimu na ujumbe huo kirahisi zaidi.Duh bwana mkubwa nae kwa kupenda uma-harufu hajambo,yaani mateja woote wa nchi hii kamuona "kiuno bila mfupa" tu?,kama ni muungwana kiasi hicho si angefungua rehabilitation centre ili mateja wote wanufaike.
Nampongeza mheshimiwa kwa kumsaidia huyu binti lakini napingana na argument yako hii.- So what JK ni binadam ana marafiki na ndugu, kama sio rafiki a baba yako so what ni makosa ya siasa? Childish tafutenu facts kwanza JK ametumia hela zake za mfukoni kumsaidia au ametumia za Serikali, ndio maana ninasema Chadema mna kazi sana kutafuta hoja maana so far hamna, CCM mpya imewaondolea hoja zote sasa mmo kwenye Ray c! ha! ha! kama sio kufilisika kisiasa sijui ni nini!
Es
Wee kiranga wewe!Betty Chalamila-Mkwasa.
Kama kawa kama dawa, Jk ni MTU WA watu