Lukansola
JF-Expert Member
- Sep 5, 2010
- 5,435
- 1,604
Unataka rais amsaidie kila mtu?
"
Kama hapana unataka watu wa aina gani?
"
Kama unatoa mfano wa Wamarekani,unadhani wao ndo wapo sahihi zaidi?
"
Kama ndio kwa viwango gani?
"
Unajua kikwete amemsaidia Ray C kama rais au kama Jakaya Kikwete?
"
Unajua maana ya msaada?
Eiyer, hapa hakuna cha kuchangia, maswali yako yamekuwa ya kitoto mno, hebu rudia kuyasoma utagundua. samahani lakini.
Last edited by a moderator: