Ally Kombo
JF-Expert Member
- Nov 11, 2010
- 11,429
- 2,650
Ni aibu ilioje na kwa kweli haya ndiyo matokeo ya kuchagua kuongozwa na MSWAHILI. Kinachotakiwa hapa ni rais kuweka mfumo utakaowawezesha wagonjwa kupata matibabu au wenye shida kutatua shida zao badala ya kusaidia mmoja mmoja.
Umezeeka kupitiliza mbuzi..sasa hapa ndiyo umeeleza nini?yani ni kama vile tulikuwa tunaangalia tv wote halafu unatukumbushia tu hapa..
Mbona stori yako mbuzi leo imekuwa kama si wewe? Hujaeleza ameokoa vipi maisha ya Ray C. Kwani alikuwa anaumwa au ameishiwa au anatafuta mume? Niliwahi kusoma kuwa alikuwa akiugua kutokana na kubwia mibwimbwi. Je Kikwete amemuongezea damu hadi akawa mzima au ameamua kumstaafisha toka kwenye kuuza mibwimbwi? Mbona sikuelewi.
Father of All.. yes I know its questionable, but the issue here is for JF to contribute and show maturity and not paranoia when someone does a good thing. Mark 14:7 The poor you will always have with you, and you can help ...
The thing is methinks you have not clearly state exacltly what Kikwete did vis a vis Ray C. I just asked kindly however you didn't get it. Go back to my questions you will be able to see the light. You haven't even where you gleaned the info. Anyways, you are a goat who should not know anything regarding humans.
I was shocked!
Utajuaje? Huenda ana faida na bwimbwi ndiyo maana anakuwa mbele kuwasaidia mateja.
Kuna thread imo humu Jf ya kuombwa kumchangia ray c. Mi nilitoa wito kuwa mkishamaliza kumchangia ray c mumchangie na mpwa wangu Macho naye ni teja. Sa sijui nimfuate mheshimiwa atanisaidia!!?? Au
Naona unaanzisha thread halafu unajijibu mwenyewe!!
Baba V una maana mpwao anaitwa Macho. naye nh teja,kama ndivyo mkulu anakuhusu.
Naona unaanzisha thread halafu unajijibu mwenyewe!!