Ray C amtembelea Rais Kikwete Ikulu jijini Dar, amshukuru kwa msaada wa matibabu!

Ray C amtembelea Rais Kikwete Ikulu jijini Dar, amshukuru kwa msaada wa matibabu!

Ni aibu ilioje na kwa kweli haya ndiyo matokeo ya kuchagua kuongozwa na MSWAHILI. Kinachotakiwa hapa ni rais kuweka mfumo utakaowawezesha wagonjwa kupata matibabu au wenye shida kutatua shida zao badala ya kusaidia mmoja mmoja.

Hebu fafanua "mswahili !"
 
Ilitokea kama bahati mbaya jana kuangalia taarifa ya habari ya TBC.
Nilimshuhudia Rais Kikwete akiwa na tabasamu lake super,huku kushoto kwake kukiwa na mwanamuziki Ray C.
Ray C alifunguka na kusema anamshukuru sana Rais kwa kumwezesha kuachana na ulevi huo wa madawa haramu.
My take: kwa hadhi ya taasisi aliyonayo,hakukuwa na haja ya kupublicize jambo hilo tena katika viwanja vya Ikulu na kuirusha habari kwenye shirika la walipa kodi kama TBC.
 
Mama wa msanii Ray c na ray c mwenyewe walimtembelea mheshimiwa ikulu na kumshukuru kwa kumsaidia matibabu ray c kwan sasa anaonekana amerecover thanx Mheshimiwa kwa kutoe pesa ya matibabu ya ray c
 
Katika group niliyokuwapo wengi walisikitishwa na jambo hilo,na walikuwa na maswali mengi ambayo hayakuwa na majibu.
 
Mbona stori yako mbuzi leo imekuwa kama si wewe? Hujaeleza ameokoa vipi maisha ya Ray C. Kwani alikuwa anaumwa au ameishiwa au anatafuta mume? Niliwahi kusoma kuwa alikuwa akiugua kutokana na kubwia mibwimbwi. Je Kikwete amemuongezea damu hadi akawa mzima au ameamua kumstaafisha toka kwenye kuuza mibwimbwi? Mbona sikuelewi.

Father of All.. yes I know its questionable, but the issue here is for JF to contribute and show maturity and not paranoia when someone does a good thing. It is God who heals and give life, that is the empirical fact, but when someone help to execute that, then it is our obligation to give bravo to that person. Mama yake Ray C alisikika muda si kitambo akiomba hela kusaidia mwanae, mlango ulikuwa wazi kwa Mbuzi, Father of All, na wengine wengi kusaidia, lakini, hatukutokea. Mark 14:7 The poor you will always have with you, and you can help ...

The thing is methinks you have not clearly state exacltly what Kikwete did vis a vis Ray C. I just asked kindly however you didn't get it. Go back to my questions you will be able to see the light. You haven't even where you gleaned the info. Anyways, you are a goat who should not know anything regarding humans.
Father of All.. yes I know its questionable, but the issue here is for JF to contribute and show maturity and not paranoia when someone does a good thing. Mark 14:7 The poor you will always have with you, and you can help ...

The thing is methinks you have not clearly state exacltly what Kikwete did vis a vis Ray C. I just asked kindly however you didn't get it. Go back to my questions you will be able to see the light. You haven't even where you gleaned the info. Anyways, you are a goat who should not know anything regarding humans.

Thank you, you know we Goats, always flabbergasted when we talk about humans.
 
Prevention is better than cure. Serikali imechukua hatua zipi kupiga vita biashara haramu ya madawa ya kulevya?
 
Utajuaje? Huenda ana faida na bwimbwi ndiyo maana anakuwa mbele kuwasaidia mateja.
 
Kuna thread imo humu Jf ya kuombwa kumchangia ray c. Mi nilitoa wito kuwa mkishamaliza kumchangia ray c mumchangie na mpwa wangu Macho naye ni teja. Sa sijui nimfuate mheshimiwa atanisaidia!!?? Au
 
Naona unaanzisha thread halafu unajijibu mwenyewe!!
 
Kuna thread imo humu Jf ya kuombwa kumchangia ray c. Mi nilitoa wito kuwa mkishamaliza kumchangia ray c mumchangie na mpwa wangu Macho naye ni teja. Sa sijui nimfuate mheshimiwa atanisaidia!!?? Au

Baba V una maana mpwao anaitwa Macho. naye nh teja,kama ndivyo mkulu anakuhusu.
 
Last edited by a moderator:
Rais wetu ni mtu wa watu. Ndivyo alivyo, tuendelee kumvumilia kwa wale ambao hatufurahishwi na baadhi ya mambo anayofanya.
 
Naona unaanzisha thread halafu unajijibu mwenyewe!!

Rejao hapo unaliona jambo hilo kuwa sawa kutokana na haiba yake kama binadamu au yuko katika kupambana na waathirika wa madawa hayo haramu ama vipi.
 
Last edited by a moderator:
Baba V una maana mpwao anaitwa Macho. naye nh teja,kama ndivyo mkulu anakuhusu.

Mpwa wangu anaitwa Macho, ni teja kanisumbua mno,keshavunjwa miguu na magari maratatu akiwa anachota mafuta kwenye tankers zikiwa kwenye foleni.ntafanya mpango niende kwa mkulu aisee,
 
Back
Top Bottom