Rayvanny aaga rasmi WCB- Wasafi, ashukuru kwa fursa aliyopewa ya kuwa mwanafamilia wa Wasafi


Naam mkongwe...
 
Kwahiyo hata kioo nayo hamna kitu?..

Kuwa tunatofautiana sana kuhusu muziki mzuri.
 
Roma kuna siku alisema yeye ndo msanii wa kwanza wa hiphop video yake kuhit 1m views on youtube lakini hajui Faza Nelly (RIP) ashapata hizo views kitambo.
 
Jamaa(Rayvann) ni mstaarabu sana.Katoka vizuri,kila la kheri kwake na wanaomtegemea.
 
Hujui mziki ww
 
Kuna kitu kimoja watanzania husahau ikiwa umepata umaarufu kwa kupitia mtu fulani au timu fulani. Jaribu kuwepo pale kwasababu hawa walio kuzunguka wana washabiki wao na wewe una washabiki wako. Hawa washabiki kipato kizuri kwako mfano wasafi kuna wasanii 10 Rayvan ana washabiki 1 million hawa walobakia wana mashabiki million 9 hao ni faida yako kwa jina la kundi.

Kama unataka kwenda solo fanya hivyo lakini kumbuka kaka alie potenza muda wake nguvu zake kukaa kwake miaka yote leo unamwabia nahama kwasababu nimepata mafanikio mazuri kutoka mgongoni mwako lazima itamuumiza tu.
 
Mawazo ya Kimaskini kabisa hayo,
Ondoka enzi za Ujima, fungua Fikra zako wewe pekee ndio Mkombozi wa wewe na sio mwingine.
 
Nonsense
 
Duuh kumbe jamaa anaitwa Shabani!
Yes... Ni muislamu.

Bongo Fleva wameitawala wao.

Top 10 ya wasanii wakubwa Tanzania, 9 ni Waislamu.

1. Platnumz
2. Vanny
3. Harmo
4. Kiba
5. Zuchu
6. Mbosso
7. Jux
8. Lavalava
9. Marioo
10. Nandy (Mkristo pekee)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…