Rayvanny aaga rasmi WCB- Wasafi, ashukuru kwa fursa aliyopewa ya kuwa mwanafamilia wa Wasafi

Nadhan hawa wasanii wachanga wasome historia vizur,rayvanny anasema yeye ndo msanii wa kwanza kupanda kwenye majukwaa makubwa,hajui kwamba kuna watu walisha perform kwenye majukwaa makubwa kitambo kabla ya internet na instagram? Anawajua TATU NANE BAND? haws waliperform ulaya kwenye stage kubwa,je anawajua JAGWA MUSIC? aende tu youtube aangalie zile perfomance za holland pale amsterdam,sweden,atafuta hii kauli yake,anawajua xplastaz? Kina faza nelly? Hawa walisha perfom mpaka Sao paul brazil kwenye matamasha achilia mbali show zao hollande,swedish...namalizia na sugu aka taita huyu nae atasemaje kama ray vanny anasema ndo msanii wa kwanza kuperfom kwenye international stage? Je anajua xplastaz walishiriki BET CYPHER? na akachana kiswahili mbele ya KRS one? Tuwafundishe historia wadogo zetu

Naam mkongwe...
 
Mhhhh ukiondoka label kubwa kama wasafi kibongo bongo! Ddio mwanzo wa kupotea, Harmonize tangu atoe kwangalu, wimbo. Pekee mzuri aliotoa akiwa nje ya wasafi ni attitude, nyingine amebaki kulalama kama kichaa, mtu wa vijembe kama Binti wa kizaramo, kiki nyingi tu Ili abaki ana trend.

Ingekuwa vizuri kama Vanny boy atakuwa peke yake ila aendelee kufanya colabo na Simba, kama Mond/Simba anaenda nje kufanya kolabo na Davido, kizz Daniel kwa nini kufanya colabo na Vanny boy, Harmonize, au Alikiba, Iwe shida?? Hapo ndio Kuna uchawi
Kwahiyo hata kioo nayo hamna kitu?..

Kuwa tunatofautiana sana kuhusu muziki mzuri.
 
Nadhan hawa wasanii wachanga wasome historia vizur,rayvanny anasema yeye ndo msanii wa kwanza kupanda kwenye majukwaa makubwa,hajui kwamba kuna watu walisha perform kwenye majukwaa makubwa kitambo kabla ya internet na instagram? Anawajua TATU NANE BAND? haws waliperform ulaya kwenye stage kubwa,je anawajua JAGWA MUSIC? aende tu youtube aangalie zile perfomance za holland pale amsterdam,sweden,atafuta hii kauli yake,anawajua xplastaz? Kina faza nelly? Hawa walisha perfom mpaka Sao paul brazil kwenye matamasha achilia mbali show zao hollande,swedish...namalizia na sugu aka taita huyu nae atasemaje kama ray vanny anasema ndo msanii wa kwanza kuperfom kwenye international stage? Je anajua xplastaz walishiriki BET CYPHER? na akachana kiswahili mbele ya KRS one? Tuwafundishe historia wadogo zetu
Roma kuna siku alisema yeye ndo msanii wa kwanza wa hiphop video yake kuhit 1m views on youtube lakini hajui Faza Nelly (RIP) ashapata hizo views kitambo.
 
Jamaa(Rayvann) ni mstaarabu sana.Katoka vizuri,kila la kheri kwake na wanaomtegemea.
 
Mhhhh ukiondoka label kubwa kama wasafi kibongo bongo! Ddio mwanzo wa kupotea, Harmonize tangu atoe kwangalu, wimbo. Pekee mzuri aliotoa akiwa nje ya wasafi ni attitude, nyingine amebaki kulalama kama kichaa, mtu wa vijembe kama Binti wa kizaramo, kiki nyingi tu Ili abaki ana trend.

Ingekuwa vizuri kama Vanny boy atakuwa peke yake ila aendelee kufanya colabo na Simba, kama Mond/Simba anaenda nje kufanya kolabo na Davido, kizz Daniel kwa nini kufanya colabo na Vanny boy, Harmonize, au Alikiba, Iwe shida?? Hapo ndio Kuna uchawi
Hujui mziki ww
 
Kuna kitu kimoja watanzania husahau ikiwa umepata umaarufu kwa kupitia mtu fulani au timu fulani. Jaribu kuwepo pale kwasababu hawa walio kuzunguka wana washabiki wao na wewe una washabiki wako. Hawa washabiki kipato kizuri kwako mfano wasafi kuna wasanii 10 Rayvan ana washabiki 1 million hawa walobakia wana mashabiki million 9 hao ni faida yako kwa jina la kundi.

Kama unataka kwenda solo fanya hivyo lakini kumbuka kaka alie potenza muda wake nguvu zake kukaa kwake miaka yote leo unamwabia nahama kwasababu nimepata mafanikio mazuri kutoka mgongoni mwako lazima itamuumiza tu.
 
Kuna kitu kimoja watanzania husahau ikiwa umepata umaarufu kwa kupitia mtu fulani au timu fulani. Jaribu kuwepo pale kwasababu hawa walio kuzunguka wana washabiki wao na wewe una washabiki wako. Hawa washabiki kipato kizuri kwako mfano wasafi kuna wasanii 10 Rayvan ana washabiki 1 million hawa walobakia wana mashabiki million 9 hao ni faida yako kwa jina la kundi. Kama unataka kwenda solo fanya hivyo lakini kumbuka kaka alie potenza muda wake nguvu zake kukaa kwake miaka yote leo unamwabia nahama kwasababu nimepata mafanikio mazuri kutoka mgongoni mwako lazima itamuumiza tu.
Mawazo ya Kimaskini kabisa hayo,
Ondoka enzi za Ujima, fungua Fikra zako wewe pekee ndio Mkombozi wa wewe na sio mwingine.
 
Mhhhh ukiondoka label kubwa kama wasafi kibongo bongo! Ddio mwanzo wa kupotea, Harmonize tangu atoe kwangalu, wimbo. Pekee mzuri aliotoa akiwa nje ya wasafi ni attitude, nyingine amebaki kulalama kama kichaa, mtu wa vijembe kama Binti wa kizaramo, kiki nyingi tu Ili abaki ana trend.

Ingekuwa vizuri kama Vanny boy atakuwa peke yake ila aendelee kufanya colabo na Simba, kama Mond/Simba anaenda nje kufanya kolabo na Davido, kizz Daniel kwa nini kufanya colabo na Vanny boy, Harmonize, au Alikiba, Iwe shida?? Hapo ndio Kuna uchawi
Nonsense
 
Duuh kumbe jamaa anaitwa Shabani!
Yes... Ni muislamu.

Bongo Fleva wameitawala wao.

Top 10 ya wasanii wakubwa Tanzania, 9 ni Waislamu.

1. Platnumz
2. Vanny
3. Harmo
4. Kiba
5. Zuchu
6. Mbosso
7. Jux
8. Lavalava
9. Marioo
10. Nandy (Mkristo pekee)
 
Back
Top Bottom