Rayvanny aaga rasmi WCB- Wasafi, ashukuru kwa fursa aliyopewa ya kuwa mwanafamilia wa Wasafi

Rayvanny aaga rasmi WCB- Wasafi, ashukuru kwa fursa aliyopewa ya kuwa mwanafamilia wa Wasafi

Hawa watoto wanavyozidi kuondoka WCB Alikiba anazidi kupata ushindani sokoni.

Maana ushindani wake na Diamond ulikuwa unambeba sana Ally Kiba

Sasa hawa watoto wanaenda nje ya Wcb na kuanza kushindanishwa na Diamond.. hapo Ally Kiba anakuwa hashindanishwi na Diamond tena na anakosa soko
Kuna ubaya gani kwani Diamond ndio SI units ya mziki?

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Mhhhh ukiondoka label kubwa kama wasafi kibongo bongo! Ddio mwanzo wa kupotea, Harmonize tangu atoe kwangalu, wimbo. Pekee mzuri aliotoa akiwa nje ya wasafi ni attitude, nyingine amebaki kulalama kama kichaa, mtu wa vijembe kama Binti wa kizaramo, kiki nyingi tu Ili abaki ana trend.

Ingekuwa vizuri kama Vanny boy atakuwa peke yake ila aendelee kufanya colabo na Simba, kama Mond/Simba anaenda nje kufanya kolabo na Davido, kizz Daniel kwa nini kufanya colabo na Vanny boy, Harmonize, au Alikiba, Iwe shida?? Hapo ndio Kuna uchawi
Duh Harmonize ana wimbo mmoja TU mzuri toka atoke wcb.
Huu urojo Ni was kushangaza
 
Rayvanny amekuwa smart Sana na WCB kiujumla umeona kuondoka kwake kuna mapovu ya mashabiki wa WCB? So hiyo vita sioni kwasababu move yake ina ustaarabu na ndio maana mashabiki wa Wasafi ukienda kwenye page yake kapata reaction nzuri Sana tofauti na move ya Harmonize.Faida ya Rayvanny atakayopata atakuwa na mashabiki wa Wasafi na atatengeneza mashabiki wengine wapya
Diamond hajaamua tu kumwekea kauzibe [emoji1787][emoji1787]
Na kuna mtu huko kacomment anakosa cha kumuattack
Akikipata utakuja apa kusema
 
Diamond hajaamua tu kumwekea kauzibe [emoji1787][emoji1787]
Na kuna mtu huko kacomment anakosa cha kumuattack
Akikipata utakuja apa kusema
Diamond atakuattack ukiwa utamuattack yupo hivyo na huyo inategemea na attack yako anaweza kukujibu au asikujibu mfano qboy msafi aliondoka Wasafi akawashambulia Sana Wasafi lakini Mondi hakumjibu
 
Mhhhh ukiondoka label kubwa kama wasafi kibongo bongo! Ddio mwanzo wa kupotea, Harmonize tangu atoe kwangalu, wimbo. Pekee mzuri aliotoa akiwa nje ya wasafi ni attitude, nyingine amebaki kulalama kama kichaa, mtu wa vijembe kama Binti wa kizaramo, kiki nyingi tu Ili abaki ana trend.

Ingekuwa vizuri kama Vanny boy atakuwa peke yake ila aendelee kufanya colabo na Simba, kama Mond/Simba anaenda nje kufanya kolabo na Davido, kizz Daniel kwa nini kufanya colabo na Vanny boy, Harmonize, au Alikiba, Iwe shida?? Hapo ndio Kuna uchawi
Mbona na ww hapa kama unalalama? Huongei kiume mwanaume anamsapoti mwanaume mwenzie kwa hatua anazochukua sio kumponda na kumkashifu sasa unataka aendelee kubebwa ili iweje acha apambane na yeye, acheni kumpa Dimond u special sana kiasi kwamba mwingine unaona kama anafanya vibaya, acha kiriba cha roho.

Kwahyo unaona Harmo anaimba urojo ila Dimond anaimba tende? Hahaha duuu wote wanaimba mahadhi yaleyale na maudhui yaleyale sema utunzi na maneno ya kwny nyimbo Harmo anamuacha mbali dimond
 
Konde tangu ajiegeshe kwa Kajala naona nyota yake inawaka, kalazimisha mpaka jamii imempokea, alipotoka aliamua kuishi kwa kiki Kama bosi wake hatimaye sasa anaongelewa sana kumzidi na bosi wake wa zamani, imefanya hata akitoa ngoma mbovu inatrend tu,, mi sikupenda muziki wake ila siku hizi namsikiliza,, kibongo bongo akitulia anajua kuimba ila kimataifa bado anayo safari

Rayvany anatakiwa kutengenezea kiki,, bila kiki muziki wa sasa ngumu kutoboa atafute mdada anaetrend atambalie humo, simuoni km ni mbishi na mgumu km Harmonize kuweza kupangua uswahili na figisu za domo
 
Kwanini mnaona mondi anawawekea figisu ebu fafanua Hili figisu zipi hizo?
 
Ukiacha tuzo hakuna hata ngoma yake Moja iligonga kuanzia 10M+ ukiachana na uno

gangnam style ina view 3bilion na ushee.

pumba tupu ziko mule,wiews milions sio ubora wa music,
mwenyewe shahidi ni mayimbi ya msanii gani yanapigwa sana kipindi cha miaka hii 2.
 
gangnam style ina view 3bilion na ushee.

pumba tupu ziko mule,wiews milions sio ubora wa music,
mwenyewe shahidi ni mayimbi ya msanii gani yanapigwa sana kipindi cha miaka hii 2.
Ni mbovu kwako ila kwa wengine ni nzuri ndio principle ya biashara ilivyo ndio maana ikawa na hiyo views
 
Kuna kitu kimoja watanzania husahau ikiwa umepata umaarufu kwa kupitia mtu fulani au timu fulani. Jaribu kuwepo pale kwasababu hawa walio kuzunguka wana washabiki wao na wewe una washabiki wako. Hawa washabiki kipato kizuri kwako mfano wasafi kuna wasanii 10 Rayvan ana washabiki 1 million hawa walobakia wana mashabiki million 9 hao ni faida yako kwa jina la kundi.

Kama unataka kwenda solo fanya hivyo lakini kumbuka kaka alie potenza muda wake nguvu zake kukaa kwake miaka yote leo unamwabia nahama kwasababu nimepata mafanikio mazuri kutoka mgongoni mwako lazima itamuumiza tu.
Kwa hiyo wewe huwezi kumshukuru mzazi au mlezi kwa malezi, na siku zote unataka uendelee kula kwake.
 
😂😂😂Unaniambia hivyo kama nani?
Hiyo mentality yakusema unafanyika figisu siku zote ipo kwa watu dhaifu, wenye inferior complex na wenye kutafuta sympathy ya jamii ila strong person wanaamini kwenye uwezo wao mfano mzuri kuna kipindi fulani kuna kundi la baadhi la wasanii walikuwa wanalalamika kuwa Ruge anawafanya wasifanye vizuri kimziki Mungu si Athumani akumchukua Ruge lakini watu wale wale walikuwa wanatoa hayo malalamiko wameshindwa kufunya vizuri mpaka Leo kwenye industry ya mziki japo waliokuwa wanamlalamikia ameshafariki muda mrefu kwa ilivyo hapo unadhani shida hapo ilikuwa kwa Nani?
 
Back
Top Bottom