Rayvanny amuomba radhi Kajala Masanja

Achana na kifutu huyo , kesho anafanya usajili na keshokutwa anadai anapiga show Addis Ababa [emoji2][emoji2][emoji2] Kondeboy sa hv ni Aslay aliyechangamka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Rayavan ni Beka aliyechachuka.
 
Angeomba msamaha kabla hajampanua ingekuwa vema
 
Kicho kimalkia hakikuwa cha lazima
 
Vanny boy mtu mbaya aka chui aka Talented boy umesomeka sana
 
Kama Vanboy ni Chui, basi Mbosso awe fisi, Zuchu awe nyati, Babalevo awe Nyumbu, Mavoko awe twiga, make babu zao, mmoja anajiita Simba, mwingine anajiita tembo!!!
Nimecheka mpaka watu wamehisi akili zimeniruka
 
Mbona hamuombi Msamaha baba Paula ambae ni Hermonize ?
 
Kwa Niaba ya wazazi msamaha umepokelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…