Rayvanny amuomba radhi Kajala Masanja

Rayvanny amuomba radhi Kajala Masanja

Achana na kifutu huyo , kesho anafanya usajili na keshokutwa anadai anapiga show Addis Ababa [emoji2][emoji2][emoji2] Kondeboy sa hv ni Aslay aliyechangamka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Rayavan ni Beka aliyechachuka.
 
Rayvanny, Vannboy aka chuiii, toka label nambari moja East and Central Africa ya WCB wasafi, kupitia account yake ya Instagram amemuomba msamaha Kajala.... Kwa tukio lililotokea hivi karibuni la kusambaa kwa video za faragha akiwa na mwanawe Paula .....

Anaandika Vannyboy;-

"Duniani wakati mwingine kuna vitu
tunavifanya ambavyo pengine kwa macho yetu ya ujana tunaona ni sahihi lakini tunasahau upande mwingine wa pili ambao ni wazazi wanaoumia kwa namna moja au nyingine. Nichukue nafasi hii kumuomba radhi dada angu @kajalafrida na kuwaomba radhi wazazi na yoyote ambaye nilimkwaza kwa kupost video ambayo inawezekana imetafsiriwa vibaya ..kwasababu sisi ni binadamu na kamwe hatuwezi kukamilika"


Kimombo

"On Earth sometimes there are things
we do it which perhaps with our youthful eyes we see as right but we forget the other side which is the parents who are hurt in one way or another. I would like to take this opportunity to apologize to my sister @kajalafrida and to apologize to the parents and anyone I offended by posting a video that may have been misinterpreted..because we are human and can never be perfect"


Big up Vanny boy , tupo pamoja mtu mbaya......[emoji120]

Pia soma: Rayvanny aweka video mtandaoni akiwa mahabani na Paula mtoto wa Kajala, Hamisa Mobetto adaiwa kuhusika kumlewesha na kumrubuni
Kicho kimalkia hakikuwa cha lazima
 
Vanny boy mtu mbaya aka chui aka Talented boy umesomeka sana
 
Kama Vanboy ni Chui, basi Mbosso awe fisi, Zuchu awe nyati, Babalevo awe Nyumbu, Mavoko awe twiga, make babu zao, mmoja anajiita Simba, mwingine anajiita tembo!!!
Nimecheka mpaka watu wamehisi akili zimeniruka
 
Mbona hamuombi Msamaha baba Paula ambae ni Hermonize ?
 
Kwa Niaba ya wazazi msamaha umepokelewa.
 
Back
Top Bottom