[emoji23][emoji23][emoji23]Kiumri ni dada ake, jina la mama tutalihalalisha soon as possible , juzi Paula kapost yupo na mama ake wanaimba wimbo wa Vannyboy mtu mbaya ...wanakula Kwa kondeboy wanalala Kwa mtu mbadi[emoji2]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23]Kiumri ni dada ake, jina la mama tutalihalalisha soon as possible , juzi Paula kapost yupo na mama ake wanaimba wimbo wa Vannyboy mtu mbaya ...wanakula Kwa kondeboy wanalala Kwa mtu mbadi[emoji2]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]La hasha, awe samaki tumbilue bilue tumle jicho!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Rayavan ni Beka aliyechachuka.Achana na kifutu huyo , kesho anafanya usajili na keshokutwa anadai anapiga show Addis Ababa [emoji2][emoji2][emoji2] Kondeboy sa hv ni Aslay aliyechangamka
Kwa kuwa unajua unaenda kutenda kosa unatanguliza kuomba msamaha kabisa.Unasema naomba mnisamehe kwa ninachoenda kukifanyaUlisikia Wapi kuomba msamaha kabla ya kukosa!
Usijari eti babeeh, [emoji8][emoji8]Kesho tutoke bas[emoji2]
Kicho kimalkia hakikuwa cha lazimaRayvanny, Vannboy aka chuiii, toka label nambari moja East and Central Africa ya WCB wasafi, kupitia account yake ya Instagram amemuomba msamaha Kajala.... Kwa tukio lililotokea hivi karibuni la kusambaa kwa video za faragha akiwa na mwanawe Paula .....
Anaandika Vannyboy;-
"Duniani wakati mwingine kuna vitu
tunavifanya ambavyo pengine kwa macho yetu ya ujana tunaona ni sahihi lakini tunasahau upande mwingine wa pili ambao ni wazazi wanaoumia kwa namna moja au nyingine. Nichukue nafasi hii kumuomba radhi dada angu @kajalafrida na kuwaomba radhi wazazi na yoyote ambaye nilimkwaza kwa kupost video ambayo inawezekana imetafsiriwa vibaya ..kwasababu sisi ni binadamu na kamwe hatuwezi kukamilika"
Kimombo
"On Earth sometimes there are things
we do it which perhaps with our youthful eyes we see as right but we forget the other side which is the parents who are hurt in one way or another. I would like to take this opportunity to apologize to my sister @kajalafrida and to apologize to the parents and anyone I offended by posting a video that may have been misinterpreted..because we are human and can never be perfect"
Big up Vanny boy , tupo pamoja mtu mbaya......[emoji120]
Pia soma: Rayvanny aweka video mtandaoni akiwa mahabani na Paula mtoto wa Kajala, Hamisa Mobetto adaiwa kuhusika kumlewesha na kumrubuni
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Vanny boy mtu mbaya aka chui aka Talented boy umesomeka sana
Nimecheka mpaka watu wamehisi akili zimenirukaKama Vanboy ni Chui, basi Mbosso awe fisi, Zuchu awe nyati, Babalevo awe Nyumbu, Mavoko awe twiga, make babu zao, mmoja anajiita Simba, mwingine anajiita tembo!!!
Anajiita samaki poriLavalava?
We dada ulipotea Sana hapa jukwaani Nini shida?Angemuita hata mama kama ma mkwe imekua ngumu