Rayvanny atambulisha rasmi record label yake

Rayvanny afanye kumsign Don Nalimison mapema kwenye lebo yake, kabla hajawahiwa na Diamond au Alikiba au Harmonize.

Tukumbuke, Don Nalimison ana album yake anayotarajia kuitoa mwaka huu, album inayowaumiza kichwa Wizkid na Diamond Platnums na kutishia kuwapoteza kimuziki barani africa.

Bongo Fleva ipate underground wa kuchuana na Ibraah.
 
Ibraah pale kuna msanii au muombolezaji
 


Acha mazereu, huyo jamaa ni level za kina Drake, unasema asainiwe na Rayvanny?
 
Usiwe na haraka ngoja u boss umkolee ndo tutajua kama anakibri au hana
 
Hili gape lilikuwa la harmonize , nakumbuka salllam alipoulizwa , alisema harmonize alianza harakat kitambo Sana na Sallam ndo aliyempatia jina la konde gang , hapa Kati Kati dogo ndo akavimba ,
Vanny boy anaweza paa na brand yake kuliko hamonize. Kitu nachomkubali vanny ni ile identity yake.
Sipendi hamo anapo copy na ku paste kila kitu. Mara a copy mondi, mara kiingereza cha wa naija..hii kitu siungi mkono. Ingawa natambua ana talent.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…