Rayvanny atambulisha rasmi record label yake

aisee hawa madogo wana ela, popote walipo nawambia Assalaamu Aleikum
 
huyu rayvany huwa ana chembechembe za ukike. angalia sauti,mitindo ya nywele..
 
Mkaruka njoo huku uone vitu vikubwa vinavyofanywa na mtu mzima Rayvanny hii Ni hatua kubwa Sana.
Mimi sioni jipya. Kama ni studio hlnaona asilimia kubwa ya wasanii wana studio zao nyumbani.

Mpaka Nuhu Mziwanda ana studio.

Ingawa kwenye maisha hakuna mipaka, siyo vibaya kujaribu.

Ila Wasafi walitakiwa kumpa UHURU Rayvanny ajaribu kuweka asilimia 100 kwenye hilo lengo lake jipya.

Hiki anachokifanya sasa hivi ni HOFU na UWOGA.

Ni sawa na shoga anaeliwa, halafu na yeye anajifanya kuoa. Siku akiwa na ratiba ya kuliwa, ratiba kwa mke wake zinavurugika.

Au ndio kujiajiri wakati umeajiriwa ???

Anyway ndio maisha hayo, anaepusha shari anayoiona mbele yake Kwasababu ya roho mbaya na fitna za waswahili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…