Rayvanny aweka video mtandaoni akiwa mahabani na Paula mtoto wa Kajala, Hamisa Mobetto adaiwa kuhusika kumlewesha na kumrubuni

Hiyo mikwala tu...smart boyz hawanaga kelele kabisa...

Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
We Kama ndio Rayvanny jiandae majani huwa hatanii

Kamuulize Prof jei na afande sele na bongo records artists wote wa Zamani .

Rayvanny fala Sana

Unakula mtoto mwanafunzi wazi wazi vile

Ulimbukeni wa kutaka kushindana na harmonize unamtokea puani

Safi majani piga ndosi kushato hivi vifala vinavyovaa hereni vinatuto.mbea wadogo zetu[emoji1]
 
Kwa sheria za Tanzania, msichana hata akiwa na zaidi ya miaka 18,lakini bado ni mwanafunzi wa shule, ikigundulika umeshiriki kufanya nae tendo la ndoa, basi una kesi ya kujibu mahakamani.
Hii sio blah blah, ni sheria ya nchi hasa.
Nani kakuambia Paula mwanafunzi ?
Hizo mnaleta polojo. Mtoto wazazi wame muharibu sana, kabinti kazuri ila malezi yame haribu kabisa. Ebu nioneshe wanafunzi na umuweke Paula ndio utaelewa nacho maanisha
 
Ndo shida ya wasanii kupenda kiki, unapost video bila kuwaza matokeo yake. Haya kiki umepata je hatma ya huyo binti umeifikiria kweli?
 
Unasema majani wa kawaida hivi ushawahi kukutana nae uso kwa uso wewe

Jamaa ana mwili akikubana lazima unyee
Nakuambi ni mweupe tu kama walivyo weupe wengine. Nimekutana nae Mlimani mala kadahaa akiwa na Kajala na wakati mwingine mwenyewe akiwa anaingia fanya shoping. Kuna watu ma mafia asee.. huyo mchumba kabisa. Alikuwa anafanya ubabe kwa wasanii njaa kipindi kile wasanii hawajielewi. Muambie basi akakinukishe kwa Rayvanny sasa hivi.. alafu aone kitacho mtokea .
 
Acha uongo account ipi hiyo ya insta amepost au ndio kufuata mkumbo Hakuna sehemu ambayo Rayvanny amepost hiyo video
Pole yako. Video amepost rayvany kwny akaunti yake ya insta asubuhi baadae ilivoanza kusambaa akafuta. Pia alipost kwenye insta story yake watu tumeiona huko! Upo nyonyo?
 
Ebu nioneshe wanafunzi kijana, Paula huwezi muweka kwenye kundi la ma dent. Majana na Kajala wame muharibu mtoto. Majani aliwasumbua wasanii maskini na sio sasa.. wanajitambua wana pesa zao
 
Kwa sheria za Tanzania, msichana hata akiwa na zaidi ya miaka 18,lakini bado ni mwanafunzi wa shule, ikigundulika umeshiriki kufanya nae tendo la ndoa, basi una kesi ya kujibu mahakamani.
Hii sio blah blah, ni sheria ya nchi hasa.
Hata wakienda mahakani, hiyo kesi maji sana Rayvanny anashinda alfajiri kabisa. Kesi sio ushabiki
 
Jamani mwenye kavideo hako katume basi kule eba mimi Baba yenu nione mikunjo.
 
Unasema majani wa kawaida hivi ushawahi kukutana nae uso kwa uso wewe

Jamaa ana mwili akikubana lazima unyee
Watu wanagonga watoto wa mabrigedia,maluteni na bado wanadunda.

Yaani kama ukichemka kwenye malezi hata umiliki platoon nzima,vifaru,AK 47 na machine gun watu wanakuchapia vizuri kabisa.

Kitu kitacho mlinda mwanao ni malezi mema yenye Upendo na Mungu ndani yake la sivyo watu wanapigia mchana kweupe.
 
Mdingi kasanda kwa mwana alie mzaa.. hiyo nayo ni mpya na hasara ya malezi ya kimtandao.. Tembo hashindwi na Mkonge wake..
Ndugu, katika dunia ya leo omba tu yasisikute! Majani kaamua tu kuweka wazi hadharani na kwavile anafahamika basi message imekuwa delivered lakini ukweli ni kwamba kuna malaki ya wazazi ambao na wenyewe wamesanda kwa watoto wao! Labda wewe huna mtoto na kama unao basi labda Mwenyezi Mungu kakujaalia hao watoto wanakusikiliza! Na wapo watu wengi tu waliorudisha mpira kwa kipa baada ya kuwashindwa watoto wao na hayo yakiwa yametokea hata kabla ya Intanet haijazaliwa huku kwetu achilia mbali mitandao ya kijamii!!
 
Nyie mnajaza ujinga Rayvanny [emoji1]

Wenzenu anaenda liwa kiboga[emoji1787][emoji1787][emoji1]
 
Unajua watu huwa wanamkuza sana Majani! Kuna siku niliwahi kuuliza hapa "ina maana mnataka kusema watoto wa Majani ni bikra, na hawagongwi"! Tena wewe si umetaja ma-brigedia? Nami naongeza watu wanagonga hadi watoto wa marais madikteta duniani ambao wanaweza kukuhukumu kifo bila kwenda mahakamani seuze Majani!
 
Mkuu inaniuma sana, huyo binti ( Paula ) kuishi maisha ambayo hakupaswa kuyaishi. Foundation ya Kajala na Pfunk katika malezi ya huyu mtoto ni mbovu. Pfunk na amekosea zaidi kama mzazi kuelekeza lawama. Katika malezi hata siku moja usijichanganye na kuanza onesha lawama au elekeza lawama sehemu flani. Yeye kama mwanaume ambae tunaamini ni kichwa ali fail sana. Bado nafasi ya kuweka Paula vizuri ipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…