Zuriel_cfc
JF-Expert Member
- Nov 2, 2017
- 4,092
- 9,063
Kama huamini basi lkn huo ndo ukweli. Alisoma nursery na pre unit akamaliza akiwa na 5. Alipoingia std 1 alikuwa 6yrs, akarushwa mpaka std 311-7 = 4.. mmh! Hii kama sio togwa, acha nikaushe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama huamini basi lkn huo ndo ukweli. Alisoma nursery na pre unit akamaliza akiwa na 5. Alipoingia std 1 alikuwa 6yrs, akarushwa mpaka std 311-7 = 4.. mmh! Hii kama sio togwa, acha nikaushe
🤣🤣🤣🤣🤣View attachment 1702444
Tupo hapa na majani tunamjaza upepo mwamba ... R.I.P vanny boy mtu mbaya
Acha uongo account ipi hiyo ya insta amepost au ndio kufuata mkumbo Hakuna sehemu ambayo Rayvanny amepost hiyo videoAmevujisha yeye ndio aliyeipost kwenye akaunti yake ya insta
We Kama ndio Rayvanny jiandae majani huwa hataniiHiyo mikwala tu...smart boyz hawanaga kelele kabisa...
Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
Nani kakuambia Paula mwanafunzi ?Kwa sheria za Tanzania, msichana hata akiwa na zaidi ya miaka 18,lakini bado ni mwanafunzi wa shule, ikigundulika umeshiriki kufanya nae tendo la ndoa, basi una kesi ya kujibu mahakamani.
Hii sio blah blah, ni sheria ya nchi hasa.
Ndo shida ya wasanii kupenda kiki, unapost video bila kuwaza matokeo yake. Haya kiki umepata je hatma ya huyo binti umeifikiria kweli?Teknolojia za miaka hiyo ndiyo hivyo tena. Ila hiyo ya kumrekodi kwa kweli imeenda mbali sana. Ila Pfunk ni mtoto wa mjini. Rayvanny ametengeneza soo kubwa ya hatari. Atume tu watu wa heshima wakaongee na Majani. Tofauti na hapo ninakiona kisasi kikubwa kinakuja
Sasa Kama anaenda KLF au HKL atashindwa Ninisawa sikatai mkuu lakini kwa kichwa cha Paula hapana nakataa mkuu
Nakuambi ni mweupe tu kama walivyo weupe wengine. Nimekutana nae Mlimani mala kadahaa akiwa na Kajala na wakati mwingine mwenyewe akiwa anaingia fanya shoping. Kuna watu ma mafia asee.. huyo mchumba kabisa. Alikuwa anafanya ubabe kwa wasanii njaa kipindi kile wasanii hawajielewi. Muambie basi akakinukishe kwa Rayvanny sasa hivi.. alafu aone kitacho mtokea .Unasema majani wa kawaida hivi ushawahi kukutana nae uso kwa uso wewe
Jamaa ana mwili akikubana lazima unyee
Pole yako. Video amepost rayvany kwny akaunti yake ya insta asubuhi baadae ilivoanza kusambaa akafuta. Pia alipost kwenye insta story yake watu tumeiona huko! Upo nyonyo?Acha uongo account ipi hiyo ya insta amepost au ndio kufuata mkumbo Hakuna sehemu ambayo Rayvanny amepost hiyo video
Ebu nioneshe wanafunzi kijana, Paula huwezi muweka kwenye kundi la ma dent. Majana na Kajala wame muharibu mtoto. Majani aliwasumbua wasanii maskini na sio sasa.. wanajitambua wana pesa zaoWe Kama ndio Rayvanny jiandae majani huwa hatanii
Kamuulize Prof jei na afande sele na bongo records artists wote wa Zamani .
Rayvanny fala Sana
Unakula mtoto mwanafunzi wazi wazi vile
Ulimbukeni wa kutaka kushindana na harmonize unamtokea puani
Safi majani piga ndosi kushato hivi vifala vinavyovaa hereni vinatuto.mbea wadogo zetu[emoji1]
Hata wakienda mahakani, hiyo kesi maji sana Rayvanny anashinda alfajiri kabisa. Kesi sio ushabikiKwa sheria za Tanzania, msichana hata akiwa na zaidi ya miaka 18,lakini bado ni mwanafunzi wa shule, ikigundulika umeshiriki kufanya nae tendo la ndoa, basi una kesi ya kujibu mahakamani.
Hii sio blah blah, ni sheria ya nchi hasa.
Watu wanagonga watoto wa mabrigedia,maluteni na bado wanadunda.Unasema majani wa kawaida hivi ushawahi kukutana nae uso kwa uso wewe
Jamaa ana mwili akikubana lazima unyee
Ndugu, katika dunia ya leo omba tu yasisikute! Majani kaamua tu kuweka wazi hadharani na kwavile anafahamika basi message imekuwa delivered lakini ukweli ni kwamba kuna malaki ya wazazi ambao na wenyewe wamesanda kwa watoto wao! Labda wewe huna mtoto na kama unao basi labda Mwenyezi Mungu kakujaalia hao watoto wanakusikiliza! Na wapo watu wengi tu waliorudisha mpira kwa kipa baada ya kuwashindwa watoto wao na hayo yakiwa yametokea hata kabla ya Intanet haijazaliwa huku kwetu achilia mbali mitandao ya kijamii!!Mdingi kasanda kwa mwana alie mzaa.. hiyo nayo ni mpya na hasara ya malezi ya kimtandao.. Tembo hashindwi na Mkonge wake..
Inawezekana Kama alipelewa shule hizi za mayai.11-7 = 4.. mmh! Hii kama sio togwa, acha nikaushe
Nyie mnajaza ujinga Rayvanny [emoji1]Watu wanagonga watoto wa mabrigedia,maluteni na bado wanadunda.
Yaani kama ukichemka kwenye malezi hata umiliki platoon nzima,vifaru,AK 47 na machine gun watu wanakuchapi vizuri kabisa.
Kitu kitacho mlinda mwanao ni malezi mema yenye Upendo na Mungu ndani yake la sivyo watu wanapigia mchana kweupe.
Unajua watu huwa wanamkuza sana Majani! Kuna siku niliwahi kuuliza hapa "ina maana mnataka kusema watoto wa Majani ni bikra, na hawagongwi"! Tena wewe si umetaja ma-brigedia? Nami naongeza watu wanagonga hadi watoto wa marais madikteta duniani ambao wanaweza kukuhukumu kifo bila kwenda mahakamani seuze Majani!Watu wanagonga watoto wa mabrigedia,maluteni na bado wanadunda.
Yaani kama ukichemka kwenye malezi hata umiliki platoon nzima,vifaru,AK 47 na machine gun watu wanakuchapi vizuri kabisa.
Kitu kitacho mlinda mwanao ni malezi mema yenye Upendo na Mungu ndani yake la sivyo watu wanapiga.
Je aliwahi kumrecord?
Mkuu inaniuma sana, huyo binti ( Paula ) kuishi maisha ambayo hakupaswa kuyaishi. Foundation ya Kajala na Pfunk katika malezi ya huyu mtoto ni mbovu. Pfunk na amekosea zaidi kama mzazi kuelekeza lawama. Katika malezi hata siku moja usijichanganye na kuanza onesha lawama au elekeza lawama sehemu flani. Yeye kama mwanaume ambae tunaamini ni kichwa ali fail sana. Bado nafasi ya kuweka Paula vizuri ipoNdugu, katika dunia ya leo omba tu yasisikute! Majani kaamua tu kuweka wazi hadharani na kwavile anafahamika basi message imekuwa delivered lakini ukweli ni kwamba kuna malaki ya wazazi ambao na wenyewe wamesanda kwa watoto wao! Labda wewe huna mtoto na kama unao basi labda Mwenyezi Mungu kakujaalia hao watoto wanakusikiliza! Na wapo watu wengi tu waliorudisha mpira kwa kipa baada ya kuwashindwa watoto wao na hayo yakiwa yametokea hata kabla ya Intanet haijazaliwa huku kwetu achilia mbali mitandao ya kijamii!!