Rayvanny aweka video mtandaoni akiwa mahabani na Paula mtoto wa Kajala, Hamisa Mobetto adaiwa kuhusika kumlewesha na kumrubuni

Nyie mnajaza ujinga Rayvanny [emoji1]

Wenzenu anaenda liwa kiboga[emoji1787][emoji1787][emoji1]
Haliwi kiboga wala nini,watu wanagonga mpaka mtoto wa Mganga wa kienyeji na wanadunda.

Timiza wajibu wako kama mzazi kumlea mwanao ktk misingi mema,maadili mema na kumwonyesha njia njema ya kumjua Mungu ,la sivyo HATA UWE NANI WATU WANAKUGONGEA.
 
It's a matter of time kabla hajatokea baharia wa kula kuku na mayai yake! Mama anagongwa mkesha wa kuamkia Jumamosi, binti anagongwa mchana kutwa wa Jumapili! Na namna ya kufanya hayo ni kama hivi alivyoanza Mmakonde! Mmakonde akiwa mshenzi, ile ni one step forward ya kula kuku na mayai.
 
Watoto wenu wanafanya haya pengine zaidi ya haya tena katika mazingira magumu kuliko huyo paula, acheni kutupia lawama wazazi wake,hakuna malezi mengine kwa binti wa 18yrs tena famous.
 
Nyie mnajaza ujinga Rayvanny [emoji1]

Wenzenu anaenda liwa kiboga[emoji1787][emoji1787][emoji1]
Majani hana huo uwezo mkuu. Na kama mzazi inabidi atumie hekima sana. Ningekuwa mie ni majani ningemuita binti, kwanza namuuliza maswali ya msingi then namuita rayvanny au kina Tale na Salam kama watu wazima wenzake, wakaweka sawa. Ili kuweka wingu sawa, RayvanΓ±y akajitokeza kuomba msamaha na kutubu na mtoto kuanzia hapo block life la mitandao.. ila akilete ubabe atazidi kujishusha na kuona hana tofauti na kiroba au furushi tu
 
Wasanii wa siku hizi wanatembea na mabaunsa, sio wale wa enzi za kina Juma Nature unaweza kuwaokota tu kwenye vibanda vya gongo
Rayvanny hana uwezo wa kulipa mabaunsa, anaunga unga tuu
 
Fala yule hana maajabu. Mtoto amuharibu yeye na demu wake alafu analeta ukuda. Huwezi vuna usichopanda, alimuharibu kajala.. akaushe hekima na busara itumike tu hapo, tofauti na hapo ataenda kweli nyea ndoo
Unamchukia sana Pfunk au alikutia akakunyima hela ya penzi?
 
Mkuu, ukiona Majani amefikia kumlaumu mama hadhalani basi ufahamu ame-play sana role ya baba hadi kashindwa kwa kama kuharibika, Paula hajaharibika leo na sababu kubwa ya ya kuharibika huyu binti ni Kajala. Mistake aliyoifanya Majani ni kumuacha Paula kwenye mikono ya Kajala huku akifahamu wazi huyo haya huyo Kajala mwenyewe aliharibika wakati akiwa msichana mdogo tu! Wakati mwingine ndo haya mambo ya kuzaa wakati usichana na usela haujaisha manake sidhani kama Majani na mwenyewe alikuwa anaishi maisha ya kumlea mtoto wa kike, no wonder watoto wake wote wananalelewa na mama zao!!!
 
Unamchukia sana Pfunk au alikutia akakunyima hela ya penzi?
Ona sasa ulivyo mjing.a, unakimbilia kuanza kutukana. Naongea logic unawaza uharo. Hana uwezo wa kufanya chochote kwa Rayvanny, akijichukulia sheria mkononi sheria na vyombo husika vita muwajibisha, hayupo juu ya mamlaka. Sio unadandia watu ovyo ovyo
 
Suala hapo sio Ishu ya Paula na huyo Rayvanny video yao ya faragha kuvuja.

Hilo ni somo muhimu kwa Wazazi na Walezi ambao wanajisahau kwenye malezi ya mtoto/watoto wao. Maandiko yanasema Mlee mtoto kwenye njia impasayo naye hata iacha hata atakapokuwa Mzee.

Studies zinaonesha watoto wengi wanaolelewa na Mzazi Mmoja hasa Mama/Baba peke yake ni rahisi watoto kuwa na malezi finyu/ku misbehave. Kama hakuna sababu ya muhimu inayoweza kuwatenganisha/talikiana ni budi kuhakikisha suala la malezi ya mtoto/watoto linafanywa kwa pamoja.

Kwa wale Me/Ke ambao wanadhani wangetamani kuja kuwa viongozi wa Nchi hii siku za Usoni, ni muhimu kuwa na utaratibu wa kuwa na maisha ya Faragha. Hakuna haja ya kufanya tendo la Ngono huku mkirecordiana.

Hakuna faida ya kuweka kila kitu mtandaoni hasa vitu binafsi, nahakika kuna siku vitakuja kukugharimu.

Alamsiki
 
Basi hapo Majani asipelekea lawama kwa Kajala peke yakez walitakiwa kama wazazi nae kama baba, wangekaa pamoja wakaondoa tofauti na kurekebisba palipo haribika. Paula bado mdogo kuna nafasi ya kurekebishika. Na sio kumkatia tamaa mtoto wakati nafasi ipo
 
Ile hoja ya watoto kutopata malezi kutoka pande zote mbili hapo ina-apply sana!! Hata yule Patricia, sidhani kama Majani alishawahi kuishi nae wakati akiwa mdogo! Na ukichukulia u-star na Majani na maisha yake wakati yupo kijana, isingekuwa rahisi kwake kuishi na mtoto unless kama angekuwa ameoa mama wa hao watoto! Lakini kwa upande mwingine, Kajala nae ndie amechangia kwa kiasi kikubwa kwa sababu hakuwa anaishi na Paula kama binti yake but more like her best friend! Mbona binti wa Monalisa hatujawahi kusikia akiwa na scandals za hovyo hovyo!! Watu wengi walimfahamu binti wa Monalisa baada ya kupasua paper ya Form IV huku Paula akiwa kafeli vibaya sana wakati walikuwa darasa moja!! Na huyo mtoto wa Monalisa ni mfano tu, kuna mastaa kibao ambao ni Single Mothers lakini mabinti zao hatuwajui kama tulivyokuwa tunamfahamu Paula! Ni kama Irene Uwoya! Hivi yule kijana wake angekuwa ndo mtoto wa kike, nani angeshangaa akiwa kama Paula!!

So, kosa kubwa la Kajala ni kusababisha binti yake, ambae ni kisu kweli kweli awe anaishi kama celebrity!! Watu wataharibu tu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…