joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Haliwi kiboga wala nini,watu wanagonga mpaka mtoto wa Mganga wa kienyeji na wanadunda.Nyie mnajaza ujinga Rayvanny [emoji1]
Wenzenu anaenda liwa kiboga[emoji1787][emoji1787][emoji1]
Timiza wajibu wako kama mzazi kumlea mwanao ktk misingi mema,maadili mema na kumwonyesha njia njema ya kumjua Mungu ,la sivyo HATA UWE NANI WATU WANAKUGONGEA.