Ila kiukweli P funk kama mzazi itamuuma lakini hayo ni malipo ya aliyokuwa akimfanyia binti wa watu miaka hiyo.....na Kajala nae itamuuma kama mzazi ila ni sawa na uchungu waliokuwa wakiupata wazazi wake kipindi hicho....hii ndio maana halisi ya malipo ni hapa hapa duniani.Hamna chochote, ni busu tu na binti kumuita daddy, na ile ka Paula ku smile na ku mkiss daddy yake Rayvanny..
Majani kinamuumaje kwanza ? Mbona ameanza na kajala yupo mtoto kabisa shule, hii anakula mbengu aliyopanda miaka kadhaa. Mtoto huyo anagawa tunda kitambo, au alitaka ale yeye ? Mtu unachopanda ndio unachovunaIla kiukweli P funk kama mzazi itamuuma lakini hayo ni malipo ya aliyokuwa akimfanyia binti wa watu miaka hiyo.....na Kajala nae itamuuma kama mzazi ila ni sawa na uchungu waliokuwa wakiupata wazazi wake kipindi hicho....hii ndio maana halisi ya malipo ni hapa hapa duniani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah ts JF lolSo, Rayvann , Harmonize ni baba mkwe wake kama ilivyo kajala ni mama mkwe ?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji2]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaaahKwa hiyo konde boyi atampangia mahari reivani...noma sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kondi boy na Rayvanny hii valentine wanakula collable.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyo ndo Paula Staki Shule?!
Sasa hapo WCB inahusika kivip?WCB ni wabaya sanaa, wabinafsi. Wapo tayari kuharibu heshima za watu KWA ajili ya kiki zao. Majuzi walimchafua baba Diamond, leo paula majani. Yule binti ni mwanafunzi, serikali itende haki, na kinachouma manager wao eti ni mbunge. Majani usikubali ujinga, hatakama ni 18 yule binti ni kwanini wavujishe video zake za faragha??? Mawakili Wanawake saidieni hili
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Baadaye utasikia Kajala na Paula wanamgombania Hamonize
Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
Sema ka Rayvanny nako kana kera. Ujue kame mtungia wimbo Paula, kanasema kabisa katapeleka mahala kwa mzee Masanja ππππ na hakajufuta huo wimboIla kiukweli P funk kama mzazi itamuuma lakini hayo ni malipo ya aliyokuwa akimfanyia binti wa watu miaka hiyo.....na Kajala nae itamuuma kama mzazi ila ni sawa na uchungu waliokuwa wakiupata wazazi wake kipindi hicho....hii ndio maana halisi ya malipo ni hapa hapa duniani.
π€£π€£π€£π€£π€£Watoto wa siku hizi hapo katoto kama hata tayari line zote mbili za mwili wake zinatumika vizuri tu.
Kama wazazi wake wamemshindwa kumlea vizuri mtoto wao unataka mabaharia wafanyaje?Siku mdogo wako,mwanao au dada yako akifanywa Kama Paula na kupostiwa ktk mitandao ya kijamii uje tena kuwasifia mabaharia,kuna vitu sio vya kufurahi still uyo bado mwanafunzi
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Sema ka Rayvanny nako kana kera. Ujue kame mtungia wimbo Paula, kanasema kabisa katapeleka mahala kwa mzee Masanja ππππ na hakajufuta huo wimbo
Sikia mashairi ya Vboy kwa mtoto Paula .. wahuni sio watuππIla kiukweli P funk kama mzazi itamuuma lakini hayo ni malipo ya aliyokuwa akimfanyia binti wa watu miaka hiyo.....na Kajala nae itamuuma kama mzazi ila ni sawa na uchungu waliokuwa wakiupata wazazi wake kipindi hicho....hii ndio maana halisi ya malipo ni hapa hapa duniani.
Kwa usafiri wa somo la historia mpya, alilolitangaza Rais kuanza kufundishwa mashuleni mara 1, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mmesema alifeli form 4, sasa fomu faivu anakwenda kwa usafiri gani?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hilo swali tumwulize kajala mkuu labda ana undugu na necta[emoji38][emoji38][emoji38]
π€£π€£π€£π€£So, Rayvann , Harmonize ni baba mkwe wake kama ilivyo kajala ni mama mkwe ?
ππππππ